Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Katiba mpya lisiisahau tasnia ya sanaa

WIKI iliyopita wasanii kutoka makundi mbalimbali na mashirikisho ya sanaa nchini waliungana katika hafla ya uzinduzi wa wimbo wenye maudhui ya kupigania haki ya msanii kutajwa na kupewa haki katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

10 years ago

Michuzi

MASHIRIKISHO YA SANAA NCHINI YATUA BUNGE LA KATIBA KUFUKUZIA HOJA ZAO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mh. Samuel Sitta (kulia), akisisitiza jambo kwa wawakilishi wa mashirikisho ya sanaa mjini Dodoma hivi karibuni. Mashirikisho hayo yamekuwa yakipambana kufa na kupona kuhakikisha katiba mpya inatambue wasanii kama kundi maalum na pia ilinde mali zisizoshikika yaani miliki bunifu (intellectual property). Maoni ya mashirikisho hayo yalishatolewa katika hatua za awali za utoaji maoni na pia kupitia mabaraza lakini kwa bahati mbaya, hayakujumuishwa katika...

 

11 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA SANAA TANZANIA AZINDUA CD YA WASANII KUHUSU KATIBA MPYA

 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari pamoja na wasanii Februari 28,2014 katika ukumbi vijana kinondoni jijini Dar es Salaam, kuhusu viongozi mbalimbali wa Sanaa hapa nchini kwenda mkoani Dodoma Bungeni kupeleka ujumbe wa matakwa ya wasanii kuingizwa katiba Katiba mpya. Kutoka kulia ni Rais wa Shirikisho la Muziki wa Injili, Addo November, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Godfrey...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

11 years ago

Michuzi

HARAKATI ZA BUNGE LA KATIBA: WANAWAKE NA RASIMU YA KATIBA MPYA

Je, rasimu ya Katiba mpya imeongeza nini na imepunguza nini katika kumkomboa mwanamke? Msikilize hapa Profesa Ruth Meena akizungumzia jinsi mwanamke alivyopewa kipaumbele katika rasimu hii na ameelezea kundi gani limezungumziwa na kuongezwa kwenye rasimu hii ambayo imesahau makundi kama watoto wa kike, wazee na kusahau wanaathirika vipi katika jamii yetu ya Tanzania. Pia, amegusia kuwa nchi hii ina rasilimali nyingi zinazoweza kumlinda mwanamke na vizazi vyake. 
 Tazama video hapa...

 

10 years ago

Vijimambo

RASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha bunge hilo leo mjini Dodoma, wakati ikiwasilishwa Rasimu ya katiba iliyopendekezwa.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalumu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya ukumbi wa bunge hilo siku ya Jumanne 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi na Wasanii wa Vyama vya Mashirikisho ya Sanaa wasisitiza kuhusu ujio wa Ujumbe wao Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma

PIX 1.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (TAMUNET) Bw. John Kitime (kushoto) akiwahutubia waandishi wa Habari pamoja na Wasanii waliohudhuria mkutano uliofanyika mjini Dodoma 27 Agosti, 2014. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

VIONGOZI na Wasanii toka baadhi ya Vyama na Mashirikisho ya Sanaa nchini wameendelea kuhabarisha umma juu ya ujio wa Ujumbe wao wenye malengo mawili ya msingi ya kutaka wasanii kutambuliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani