Bunge lalia na DPP
OFISI ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) imetajwa kudhoofisha juhudi za Taasisi ya Kuzua na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutokana na ama kuchelewesha au kutokutoa vibali vya kufikisha mahakamani kesi kwa makosa makubwa ya rushwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kanisa Zanzibar lalia hujuma
WAKATI Jeshi la Polisi likisema milipuko ya mabomu karibu na Kanisa la Mkunazini si hujuma, uongozi wa Kanisa hilo umepinga na kusema ni sehemu ya mikakati ya kuzusha taharuki na hofu kwa waumini wake ili washindwe kuendelea na ibada.
10 years ago
In, Pledges Delivery14 Oct
New DPP sworn
Daily News
NEWLY-appointed Director of Public Prosecutions (DPP) Biswalo Mganga was sworn-in yesterday after which he expressed readiness to take up the new challenges and deliver to expectation. “The DPP's duties cannot be executed single handedly.
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Ni vita ya Takukuru, DPP
11 years ago
TheCitizen10 Jun
DPP files objection against nine
9 years ago
Mramba18 Aug
DPP pushes for Mgonja
Daily News
THE Director of Public Prosecutions (DPP) has asked the High Court to convict Gray Mgonja of abuse of office and occasioning loss charges and order Basil Mramba and Daniel Yona to pay compensation of over 11.7bn/- to the government. In his written ...
10 years ago
Habarileo07 Oct
10 years ago
Mtanzania15 Aug
DPP ateuliwa kuwa jaji
![Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Eliezer-Feleshi.jpg)
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kuwaapisha majaji wapya wa Mahakama Kuu, akiwamo Dk. Eliezer Feleshi ambaye awali alikuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).
Uteuzi huo umewajumuisha watumishi wa mahakama na mawakili wa Serikali wa kujitegemea pamoja na watumishi wa taasisi mbalimbali za serikali.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) juzi, inaeleza kuwa uteuzi huo umefanywa baada...
11 years ago
Daily News27 Feb
DPP opposes Ponda's application
Daily News
Daily News
THE Director of Public Prosecutions (DPP) has filed an objection, seeking dismissal of the application lodged by the Council of Islamic Organization Secretary General, Sheikh Ponda Issa Ponda, to challenge charges filed against him at the Morogoro ...
11 years ago
Habarileo04 Mar
Ponda apinga uamuzi wa DPP
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda ameiomba mahakama kutupilia mbali pingamizi la awali, lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) dhidi ya ombi lake la marejeo. Alidai hayo jana mbele ya Jaji Augustine Mwarija wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kupitia kwa Wakili wake, Juma Nassoro.