Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge sasa limechukua nafasi yake

Wiki iliyopita Rais Jakaya Kikwete alikubali kutengua uteuzi wa mawaziri wanne kutokana na shutuma nzito dhidi yao katika sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili zilizoibuliwa bungeni na Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE

Habari za uhakika kutoka Dodoma zinaeleza kwamba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) amejiuzulu nafasi hiyo katika chama tawala. Kulia ni Ndg Rajabu Luhwavi. Habari zaidi tutawaletea kuhusu sababu ya kujiuzulu huko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga sasa awaza nafasi ya tatu

BAADA ya Simba kukosa mwelekeo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zdravko Logarusic, ametamba kuhakikisha wanashinda mechi zilizosalia ili walau washike nafasi tatu za juu. Simba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni kutetea nafasi yake?

Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaochukua fomu kuwania nafasi ya uongozi ndani ya chama tawala, Uganda

 

9 years ago

BBCSwahili

Rwasa atetea nafasi yake Burundi

Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa amepinga vikali madai kwamba hadhi yake imeshuka kama kiongozi wa upinzani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Afrika kujadili nafasi yake katika uchumi wa dunia

Mawaziri kutoka Mataifa 160 wanakongamana hii leo jijini Nairobi ikiwa siku ya kwanza ya Kongamano la Shirika la Biashara Dunani, WTO.

 

10 years ago

Mwananchi

Chama cha wanasoka kitathmini nafasi yake katika usajili

Msimu wa usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na la pili umeanza rasmi baada ya kumalizika kwa msimu wa mwaka 2014/15 na tayari klabu zimeanza kuonyesha uwezo wao wa kifedha kwa kusajili wachezaji kwa donge nono.

 

9 years ago

Michuzi

LETCIA:TARARIBU ZA KUMUNG'OA NAFASI YAKE ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani)  juu  ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

AALIYEKUWA  Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Nadharia, umuhimu wa haki za kijamii na nafasi yake katika Katiba ya watu

Bila shaka wengi wetu tunasikia yanayotokea kwenye nchi kama Burma, Burundi, Afrika ya Kati, Misri, Eritrea, Sudan ya Kusini, Ukraine, Thailand na nchi nyingine kama hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani