BURUDANI KIDOGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-HGaxMsfN7CU/U1ksDO4VmpI/AAAAAAAFcrU/LoebaKBG0uM/s72-c/unnamed+(90).jpg)
Picha hii imepigwa Africa ya kusini, katika mbuga ya wanyama ya Kruger. Hawa jamaa waonekana taaban, utafikiri wagonjwa ama nini lakini ukweli ni kwamba wamelewa. Ila Hawakunywa tembo (ha ha tembo) ila wamekula makusudi matunda ya MURULA ambayo ni kama maembe lakini yakiiva sana yalevya..Na matunda hayo ndiyo hutumika kutengeneza kilaji cha Amarula - Mdau Sauzi
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Dec
HII STORI NI YA MUDA KIDOGO LAKINI NIMEONELEA NIIWEKE HAPA NA WEWE UIPITIE KIDOGO
![](http://freemedia.co.tz/daima/wp-content/uploads/2014/12/marathon.jpg)
MBIO za Uhuru Marathon msimu wa pili zilizofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club, kwa kiasi fulani zilitiwa dosari kutokana na baadhi ya wanariadha kushutumiana kwa mambo ya kishirikina.
Tukio hilo la...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
Ukumbusho kidogo
Kaka Hassan Khamis uliwahi kuisikia hii, mimi ndio kwanza nimeisikia leo kwamba Zanzibar ipo hii !!! Khatib amesema: Alikua na mjomba wake ambae alikua Mganga, lakini akiwafanyia ubaya Masheikh ili yeye awe juu siku zote, hakukoma […]
The post Ukumbusho kidogo appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Runapa yapata wageni kidogo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q4Epy2fSOltdyGhYJD4P9xsjfuQodpElWY4GkWdkUdRpe0tFCT6W8fi12CFITv5F0GTiG4MoxnGHxPe6O899lhwhFEJw8jpV/BARUANZITO.jpg?width=650)
KAJALA,WEMA HEBU NISIKILIZENI KIDOGO!
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Wajawazito walalamika kuombwa ‘kitu kidogo’
BAADHI ya kina mama hasa wajawazito wa vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamewalalamikia wauguzi na wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Simambwe kwa kuwaomba ‘kitu...
10 years ago
Bongo Movies06 May
Ray na Davina Kidogo Wazichape Ukumbini!
Mastaa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Halima Yahaya ‘Davina’ nusura wazichape kavukavu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar baada ya Ray kudaiwa kumshika mwenzake huyo sehemu nyeti, Risasi Mchanganyiko lina mchapo kamili.
Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti la Risasi, ambacho kilikuwa shuhuda wa tukio hilo, Davina alikuwa amekaa na wasanii wengine pamoja na Mlezi wa Bongo Movies, mama Loraa wakipata vinywaji ndipo Ray alipofika na kuharibu shughuli.
“Wakati Davina...
10 years ago
Bongo Movies05 Jan
Jb Aamua Kujipoteza Kidogo Kwenye 'Game'
Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ ameamua kujipoteza kwa makusudi katika uigizaji akiwa na lengo la kuweka mbele kazi zinazofanywa na kampuni yake ya uzalishaji sinema ya Jerusalemu.
Akizungumzia kazi za mwaka uliopita, JB alisema mwaka 2014 filamu zake tatu za Bado Natafuta, Wageni Wangu na Chausiku zilifanya vizuri sokoni.
“Kwa asilimia 80 mwaka 2014 kwangu umekuwa mzuri kikazi, nimefanya kazi nzuri bila mimi kuonekana kwa sababu nataka Jerusalemu ianze...
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Facebook ililipa kodi kidogo kuliko wafanyikazi