Burudani za Vodacom zaleta furaha Pasaka Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-rWtIyBKrdJs/VSOlXtRJpHI/AAAAAAAHPd0/X5Fwu_hOLIo/s72-c/001.DAR%2BLIVE.jpg)
Mshinda wa kitita cha shilingi milioni 10/- kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Shamila Ramadhani(kushoto)akikabidhiwa hundi yake na Balozi wa promosheni hiyo Hillary Daud ‘JayMillions’ baada ya kuipuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo katikati ni mume wa mshindi huyo Abdallah Mahoka.Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Dar Live wakati wa Tamasha la Mwana Dar Live lililofanyika Mbagala jijini Dar es Salaam.Ili mteja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcKwSIww*u-2kdDlIjsALiw9lkWrmcyB*KS14Dd0Rr*4uE*LvfCsoN4AB7R3BT1G*f9aFqoH6iScnKRk40FduVlk/pasaka.jpg?width=650)
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Fun City yajipanga kwa burudani Pasaka
WAKATI Watanzania wakiwa kwenye maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka, Kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la Fun City jijini Dar es Salaam, imeboresha burudani ikiwamo kuongeza mitambo yenye uwezo...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-K_LkjDc3Rd0/VJUsyVBQWNI/AAAAAAAG4l8/9flQfWR5gQE/s72-c/DIAMONDNAMZEEYUSUF.jpg)
Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach
![](http://3.bp.blogspot.com/-K_LkjDc3Rd0/VJUsyVBQWNI/AAAAAAAG4l8/9flQfWR5gQE/s1600/DIAMONDNAMZEEYUSUF.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eUG6_-zkZ1w/VR5VazHewII/AAAAAAAHPE8/vlgvgYecouM/s72-c/unnamed.jpg)
Moto wa burudani kuwaka ufukweni Coco Beach Pasaka
![](http://1.bp.blogspot.com/-eUG6_-zkZ1w/VR5VazHewII/AAAAAAAHPE8/vlgvgYecouM/s1600/unnamed.jpg)
Akiongea juu ya tamasha hili kubwa ambalo hivi sasa limeanza kuwa gumzo ya jiji,Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu alisema mipango yote kuhusiana na tamasha hilo imekamilika kinachongojewa ni kuwasha moto wa...
11 years ago
Dewji Blog18 Apr
FAN CITY yajipanga kutoa burudani ya kipekee kwa Watanzania Pasaka
![](http://1.bp.blogspot.com/-SxVfSfTp9-8/U0_pvha6beI/AAAAAAAA5Bg/0E1f7FhVhu4/s1600/IMG_3966.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa kipindi cha sikukuu ya Pasaka wakati wa mkutano alioufanya katika eneo la Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam. Pia aliongeza kuwa kwa sasa kampuni yake imeeongeza mitambo yenye uwezo wa kutengeneza mawimbi ya aina sita tofauti kwenye bwawa kubwa la kuogelea.
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled26.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vwf97KRUPFs/U1ADAcfCqpI/AAAAAAAA5DI/dAV2dcz7xp4/s1600/IMG_3849.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Modewji blog inakutakia furaha njema ya siku ya Ijumaa kuu leo na Pasaka njema
![IMG_20150320_171213](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_20150320_171213-e1428037954863.jpg)
Msomaji wa Modewji blog leo ni siku ya Ijumaa kuu mtandao huu unaungana na wakristo wote Duniani katika kuadhimisha siku hii pamoja na sikukuu ya Pasaka.
Mtandao huu unawatakia Sikukuu njema, sherehe njema na tuiadhimishe kwa amani.
Modewji blog pia inapenda kuwakumbusha wazazi kuwa waangalifu na watoto wadogo...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.