Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bw. George Shinga Mtambalike kuufanya mtaa wa Mogo Kipawa kuwa wa kisasa

unnamed

Mgombea wa Uenyekiti wa Mtaa wa Mogo kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. George Shinga Mtambalike akizungumza na waandishi wa habari huko Ukonga majumba siti wakati akizungumzia juu ya kampeni za uchaguzi huo ambazo zinatarajiwa kufungwa kesho kabla ya uchaguzi kufanyika jumapili Desemba 14.

unnamed (1)

Mgombea wa Uenyekiti wa Mtaa wa Mogo kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. George Shinga Mtambalikeakizungumza  na vijana mbalimbali wakati alipokutana nao katika ukumbi wa Kiota Ukonga jijini Dar es...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM

 Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi,  Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa mtaa huo, Beatries Mkama.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wadau wapinga ukatili wa kijinsia masokoni.Mgeni rasmi Bonah...

 

9 years ago

Vijimambo

ALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM LEO

 Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi,  Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa mtaa huo, Beatries Mkama.Wanafunzi na wakazi wa Tabata Muslim wakiwa kwenye mkutano huo.
Meza kuu inavyoonekana katika ufunguzi...

 

10 years ago

Bongo5

George Weah achaguliwa kuwa seneta nchini Liberia

Mchezaji soka wa zamani wa nchini Liberia, George Weah amepata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa senate nchini humo. Weah – ambaye mwaka 1995 alikuwa mchezaji wa kwanza wa Afrika na wa mwisho kushinda tuzo ya Ballon d’Or kama mcheza soka wa Ulaya na aliyechezea timu za AC Milan, Paris Saint Germain na Monaco alimshinda […]

 

9 years ago

Dewji Blog

PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)   vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.   Na Mwandishi Wetu Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu  inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani