Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


George Weah achaguliwa kuwa seneta nchini Liberia

Mchezaji soka wa zamani wa nchini Liberia, George Weah amepata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa senate nchini humo. Weah – ambaye mwaka 1995 alikuwa mchezaji wa kwanza wa Afrika na wa mwisho kushinda tuzo ya Ballon d’Or kama mcheza soka wa Ulaya na aliyechezea timu za AC Milan, Paris Saint Germain na Monaco alimshinda […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

George Weah wins Liberia senate seat

Former football star George Weah easily wins a key seat in the Liberian senate, in elections disrupted by the Ebola outbreak.

 

10 years ago

BBC

Weah junior gets Liberia call-up

George Weah's eldest son is included in Liberia's squad for their 2017 Africa Cup of Nations qualifier against Togo.

 

9 years ago

Michuzi

Amina Karuma achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake nchini

Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake nchini (TWFA)  umemalizika ambapo Amina Karuma amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho, kufuatia uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es salaam.Nafasi ya katibu msaidizi imekwenda kwa mwandishi wa habari za michezo Someo Ng’itu, na nafasi ya wajumbe wa kamati ya utendaji ya TFWA imekwenda kwa Debora Mkemwa na Theresia Mng’ongo.Mgeni rasmi katika uchaguzo huo alikuwa ni katibu wa TFF, Mwesigwa Selestine ambapo na uchaguzi ulisimamiwa na...

 

9 years ago

Habarileo

MO achaguliwa kuwa mfanyabiashara bora wa Afrika

MFANYABIASHARA kijana wa Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Ltd (MeTL), ametwaa tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika kwa mwaka huu akiwapiku washindani wenzake wanne akiwemo tajiri wa Afrika, Aliko Dangote.

 

10 years ago

Bongo5

Rooney achaguliwa kuwa nahodha mpya wa England

Kocha wa England, Roy Hodgson amemteua mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa. Rooney mwenye miaka 28 ambae pia ni nahodha ya timu ya Manchester United, amechukua mikoba iliyoachwa na kiungo wa Liverpool, Steven Gerrard aliyestaafu. Rooney aliwahi kuvaa kitambaa cha unahodha akiiongoza England kwenye mechi ya kufuzu […]

 

10 years ago

Vijimambo

Samia Suluhu achaguliwa kuwa mgombea mwenza

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM john Pombe Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan mara baada ya mkutano Mkuu wa CCM kuwachagua kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Urais utakaofanyika Oktoba,2015 (picha na Freddy Maro).

 

9 years ago

Michuzi

SHEIKH ABUBAKARY ZUBER ACHAGULIWA KUWA MUFTI WA TANZANIA

Wakatikati ni Mufti mpya Sheikh Abubakary Zuber ambaye amechaguliwa leo na wajumbe wa BAKWATA mkoani Dodoma kuwa Mufti wa Tanzania  akichukua nafasi  ya hayati Sheikh Issa Bin Simba.

 

9 years ago

StarTV

Job Ndugai achaguliwa kuwa spika, wabunge waapishwa

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza vikao vyake  mjini Dodoma kwa kumchagua Job Ndugai wa Chama  cha Mapinduzi CCM kuwa spika wa bunge hilo  kati ya wagombea wenzake nane kutoka vyama vya upinzani waliojitokeza kuwania nafasi hiyo.

Ndugai amepata kura 254 akifuatiwa na Dokta Ole Medeye wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA aliyepata kura 109 na wagombea wengine wakikosa kura yoyote.

Bunge la 11 limeanza vikao vyakao vyake majira ya 3 asubuhi kwa katibu wa bunge  Dk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani