CAG akutana na viongozi wa CUF
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amekutana na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), kujadiliana kuhusu fedha za chama hicho kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2010 hadi 2012.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo25 Dec
CUF wawasilisha taarifa za hesabu kwa CAG
BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi CUF, limesema chama hicho kimeandaa na kuwasilisha taarifa za fedha za chama hicho na kuziwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serika (CAG).
5 years ago
MichuziRIPOTI YA CAG YAWAIBUA CUF, PROFESA LIPUMBA AAMUA KUTOA UFAFANUZI WA FEDHA ZA RUZUKU MILIONI 300 ZILIZOHAMISHIWA AKAUNTI BINAFSI
SIKU moja ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kukabidhi ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli , Chama cha Wananchi( CUF) kimeamua kujitetea baada ya ripoti hiyo kubaibainisha Chama hicho kilihamisha kwa fedha kutoka akaunti ya Chama hicho kwenda akaunti binafsi.
Akizungumza leo Machi 27,2020 ,Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba ametumia nafasi hiyo kuwaeleza waandishi wa habari hatua...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar02 Oct
Viongozi wa cuf waanza kusekwa
Bukoba. Jeshi la Polisi limewakamata watu 16 akiwamo Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Bukoba kwa madai ya kuhusika na vitendo vya uchomaji wa makanisa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Bukoba. Watu hao, wakiwamo viongozi na […]
The post Viongozi wa cuf waanza kusekwa appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
MichuziMaalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi CUF waaswa kutekeleza ahadi zao.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi amewataka viongozi wa chama hicho kujenga utamaduni wa kutekeleza ahadi wanazotoa na kuacha tabia ya kuahidi mambo wasiyoyaweza kuyatekeleza kwani ndio chanzo cha migogoro kati yao na wananchi.
Anasema viongozi hutumia fursa za kampeni za kutaka uongozi kwa kutoa ahadi nyingi ambazo wanashindwa kuzitekeleza ipasavyo hali inayochangia wananchi kutokuwa na imani na viongozi hao.
loans online sc ...
11 years ago
Habarileo25 Apr
Viongozi Chadema, CUF, NCCR watakiwa kujiuzulu
WANACHAMA wa vyama vya siasa vya upinzani kikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR-Mageuzi na Chama cha Wananchi-CUF, wametakiwa kuwashurutisha viongozi wao wa kitaifa wajiuzulu mara moja kwa kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Polisi yavamia ofisi za CUF, yakamata viongozi tisa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimelaani kitendo cha Jeshi la Polisi mkoani Mtwara kuvamia ofisi za chama hicho na kuwakamata wanachama tisa.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Naibu Mkurugenzi Habari na Uenezi wa CUF, Abdual Kambaya, ilisema Machi 12, mwaka huu kati ya saa saba mchana hadi saa 10 jioni, polisi walifika katika ofisi za chama hicho na kupekua bila kusema wanatafuta nini.
“Walipekua ofisi na baadaye walihamia katika...
10 years ago
MichuziMaalim Seif akutana na wanachama walioomba kugombea nafasi za Ubunge kupitia CUF
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya chama hicho kujenga imani na kamati za uteuzi za kuwapata wagombea kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Amesema kamati zote zilizoteuliwa kufanya kazi hiyo zitafanya kazi zake kwa umakini bila ya kujali wadhifa au umaarufu wa mgombea.
Maalim Seif ameeleza hayo katika kikao maalum cha kupeana nasaha na wanachama walioomba kugombea nafasi za...
9 years ago
MichuziURUWA WAOMBA KUKUTANA NA VIONGOZI WA ZAC, CUF,CCM NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viongozi wa mashirkiano ya umoja wa vyama vya UDA, TADEA,UDP,UPDP,na SAU kwa kuwaomba viongozi wa ZEC,CUF,CCM na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili waweze kukutana na kuzungumza pamoja kuhusiana na migoro wa kisiasa nchini humo, ameyasema leo jijini Dar es Salaam.
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda katikati akizungumza na waandishi a habari jijini Dar es Salaam leo, kutoka kushoto...