Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cameron afanya ziara ya 2 Scotland

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron anafanya ziara ya pili Scotland kuwashawishi kutojitenga

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kikwete afanya ziara ya ghafla JNIA

RAIS Jakaya Kikwete, amefanya ziara ya kushtukiza katika maeneo kunakofanyika maandalizi ya kukinga nchi dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha homa hatari ya ebola, ikiwemo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afanya ziara Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa kaskazini Pemba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa majisafi na salama katika kijiji cha Taif wete kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Modi afanya ziara ya kushtukiza Pakistan

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ametua nchini Pakistan kwenye ziara ya kushtukiza ambayo ni ya kwanza kwa waziri mkuu wa India nchini humo katika zaidi ya mwongo mmoja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Assad afanya ziara ya ghafla Moscow

Rais wa Syria Bashar al-Assad amefanya mashauriano na Rais wa Urusi Vladimir Putin baada yake kufanya ziara ya kushtukiza Moscow.

 

5 years ago

Michuzi

ZUNGU AFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYANI MPWAPWA



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwasili ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma alipofanya ziara ya kikazi kukagua kukagua athari zilizosababishwa na korongo kubwa kando ya Mto Shaban Robert mwishoni mwa wiki.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe....

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli afanya Ziara ya Kushtukiza Hazina

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika makao makuu ya Wizara ya Fedha(HAZINA) kwa ziara ya kushtukiza leo mchana.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Servacius Likwelile.Rais Magufuli alitembelea na kukagua ofisi zote wizarani hapo na kisha kuongea na viongozi waandamizi. Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na wafanyakazi wawili wa Wizara ya Fedha ambao ni walemavu Bwana Fundi Maruma na Frank Mkyama wakati Rais alipofanya ziara ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ban Ki-Moon afanya ziara ya ghafla Libya

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon ametoa wito wa kudumishwa kwa amani nchini Libya

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Kawambwa afanya ziara Mkoani Morogoro

Picha na Habari Na John Nditi, Morogoro
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, amefanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Morogoro iliyaonza  Oktoba 20 na kufikia tamati  22, 2014
Katika ziara hiyo ya kikazi, waziri baada ya kupkea taarifa ya hali ya elimu mkoa, alitembelea Shule ya  Kilakala Sekondari ya wasichana wa vipaji maalumu kwa ajili ya kupata taarifa za elimu na kukagua miundombinu ya shule.
Waziri huyo mwenye dhamana na sekta ya elimu, pia alikitembelea Chuo cha...

 

9 years ago

Michuzi

KASI YA RC KILIMANJARO NI BALAA, AFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA

Na Mwandishi Wetu, Moshi.MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na utendaji kazi katika mkoa huo. Katika ziara hiyo, RC Makalla alitumia muda huo kuwaagiza watendaji wake, hususan katika mchakato mzima wa kuifanya Moshi iwe kwenye usafi.Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, RC Amos Makalla mwenye miwani, akikagua soko lililopo kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani humo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani