CATH: KIFO CHA DEO KIMENIACHIA KIDONDA KIKUBWA
![](http://api.ning.com:80/files/0qR8BrPZ-VZC1Ag5nyqljvA4pGhC42qbhBpF6z1GY9rFN-dWpXvMA8aFo0VdCDuvRtYGzRMPwzdx-N2DmdctXdQqBX7eLG3x/CATHY.jpg)
Na Imelda Mtema Muigizaji wa muda mrefu, Sabrina Rupia ‘Cath wa Mambo Hayo’, amekiri kuumia vibaya kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kutokana na ukaribu wao na jinsi alivyokuwa na moyo wa kuwajali wengine. Muigizaji wa muda mrefu, Sabrina Rupia ‘Cath. Akizungumza kwa uchungu na mwandishi wetu kwa njia ya simu kutoka Ludewa alikohudhuria mazishi ya mbunge huyo, Cath alisema maumivu aliyonayo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Q73WDuzNqy0/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-e3tU6YT9yMQ/ViFb0N4L3GI/AAAAAAADBCU/EHhp1eA0k1A/s72-c/_MG_9276.jpg)
Dkt. Magufuli apokea kwa masikitiko kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ludewa, mkoani Njombe Ndugu Deo Filikunjombe Haule,
![](http://1.bp.blogspot.com/-e3tU6YT9yMQ/ViFb0N4L3GI/AAAAAAADBCU/EHhp1eA0k1A/s640/_MG_9276.jpg)
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IwHPEBopYxA/U27DksqPE9I/AAAAAAAFg6I/LYohN02jGUQ/s72-c/0L7C1290.jpg)
TASWIRA ZA KIWANDA KIKUBWA CHA SARUJI KULIKO VYOTE DUNIANI CHA DANGOTE, NIGERIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-IwHPEBopYxA/U27DksqPE9I/AAAAAAAFg6I/LYohN02jGUQ/s1600/0L7C1290.jpg)
Kwa sasa Kiwanda hicho kinazalisha tani za kimetriki milioni 10.25 kwa mwaka na hivyo kukifanya kiwanda hicho kuwa kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani kilichoko katika eneo moja.
Baada ya upanuzi unaoendelea kufanywa kwenye kiwanda hicho, uwezo wake wa uzalishaji...
10 years ago
Michuzi14 Nov
NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU MKOANI DODOMA
![1](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/r-tQZqy8PH7f_inBM6_Ovwu3tsLLHkq3SmHT1mG1kk-TUZkvVr7Hzolv5zo6SIMvgw0E6BdfLXG6mdTap2GCbaxcJCC_Dw7vM2JW6ChZPit4mX7IbiuN=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/132.jpg)
Kituo hiki kitahudumia wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa ya jirani ya na mkoa wa Dodoma na kinajengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa gharama ya shilingi Bilioni 36 ambazo zimetolewa na mfuko huo kwa silimia 100.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali wanaohudhuria kongamano la Mfuko...
10 years ago
Michuzi13 Nov
NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU UDOM MKOANI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-6uZC2qqFLE4/VGR-asVfGRI/AAAAAAAGw48/ZPiH2BXcPmQ/s1600/7.jpg)
Kwa mujibu wa Profesa Shaban Mlacha,amesema kuwa kituo hicho kitajikita zaidi kwenye magonjwa ya uchunguzi /Utafiti na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pA-lQqd-nRQ/Xrr4cfzSb-I/AAAAAAALp-g/rPuNjYMdCmU15EQ3_D5_gFCdbJeAt8yzACLcBGAsYHQ/s72-c/8d0703c6-698b-4ef3-bf3f-4956c4121950.jpg)
KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE
KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.
Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.
Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Rushwa ni kichocheo kikubwa cha umaskini nchini
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Kiasi kingine kikubwa cha gesi chagunduliwa nchini