Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rushwa ni kichocheo kikubwa cha umaskini nchini

Rushwa ni miongoni mwa sababu au vichocheo vikubwa vya umasikini hapa nchini. Siyo kichocheo cha umasikini tu, bali pia ni kikwazo kikubwa cha maendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kiasi kingine kikubwa cha gesi chagunduliwa nchini

Kampuni ya Statoil ya Norway na mshirika wake ExxonMobil wamegundua kiasi kingine kikubwa cha gesi katika Bahari ya Hindi nchini Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAZINDUA UJENZI WA KITUO KIKUBWA CHA TIBA YA MOYO NCHINI

 Mkurugenzi wa Elimu ya juu kutoka Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Stadi, Prof. Sylivia Temu akizungumza wakati wa uzinduzi mradi wa ujenzi wa kituo cha ubora wa sayansi ya magonjwa na mishipa ya moyo hapa nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kituo hicho kitakachokuwa na uwezo wa kutoa huduma za kitabibu na kitafiti kwenye magonjwa hayo kwa nchi zote za ukanda wa Afrika mashariki na kitakuwa chini ya usimamizi wa  Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili...

 

11 years ago

Mwananchi

Hatifungani ni kichocheo cha maendeleo

Serikali inapotaka kufanya shughuli za maendeleo inaweza kuamua kuuza hatifungani (bond) kwa umma na wananchi watakaponunua hizo hatifungani wanakuwa wamewekeza. Hivyo utakuwa ni wajibu wa Serikali kuwalipa riba hawa wawekezaji katika hatifungani hizo.

 

11 years ago

Michuzi

Jotoardhi kichocheo cha Uchumi - RC Arusha

Na Asteria Muhozya, ArushaImeelezwa kuwa, nguvu ya nishati mchanganyiko ikiwemo jotoardhi ni kichocheo na kipimo cha maendeleo kwa nchi yoyote kutokana na umuhimu wa nishati hiyo kwa  shughuli mbalimbali  zikiwemo za uchumi na  viwanda.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa  Wilaya ya Arusha John Mongela wakati akifungua mafunzo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo, kuhusu masuala yanayohusu  jotoardhi yaliyoanza leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC).
Mafunzo hayo...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Sefue: Ubunifu kichocheo cha maendeleo




NA WILLIAM SHECHAMBO WATANZANIA wametakiwa kujijengea utamaduni wa kubuni mambo mbalimbali ya kimaendeleo kwa kutumia sayansi na teknolojia kwa kuwa hakuna maendeleo bila ubunifu. Balozi Ombeni SefueViongozi wa nchi wamekuwa wakionyesha njia katika ubunifu kwenye sekta zote tangu awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere, mpaka sasa ambapo maendeleo yanazidi kuonekana wakati nchi ikielekea kwenye uchumi wa kati. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alitoa rai hiyo Dar es Salaam jana,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi TAKUKURU Dkt. Edward Hoseah asema miaka 10 ya JK imepambana na rushwa kwa kiasi kikubwa

 Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini, Dkt. Edward Hoseah akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya ambapo amesema kuwa Taasisi  hiyo imeweza kufanikiwa  kupambana na rushwa kwa kiasi kikubwa  ambapo jumla  kesi kubwa za rushwa 1,993 kuanzia mwaka 2004-2015 zimeweza kufunguliwa ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia 81 ikilinganishwa na kesi 384 zilizokuwepo miaka 10 ilioyopita (1995-2004).

 Amesema, ongezeko hilo la kesi kubwa limetokana na...

 

10 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI TAKUKURU DKT EDWARD HOSEAH ASEMA MIAKA KUMI YA JK IMEPAMBANA NA RUSHWA KWA KIASI KIKUBWA

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini, Dkt. Edward Hoseah akizungumza katika sherehe za uzinduzi wa jengo la ofisi mpya ya TAKUKURU Mkoa wa Mbeya ambapo amesema kuwa Taasisi hiyo imeweza kufanikiwa kupambana na rushwa kwa kiasi kikubwa ambapo jumla kesi kubwa za rushwa 1,993 kuanzia mwaka 2004-2015 zimeweza kufunguliwa ambazo ni sawa na ongezeko la asilimia 81 ikilinganishwa na kesi 384 zilizokuwepo miaka 10 ilioyopita (1995-2004) Amesema ,ongezeko hilo la kesi kubwa limetokana na jitihada...

 

10 years ago

Mtanzania

Gharama za muziki kichocheo cha mapenzi kwa wasanii

vanessa...NA NYEMO MALECELA
VANESSA Mdee ambaye ameutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa ‘No body but me’, ameweka wazi kwamba kushindwa kumudu gharama za uandaaji wa video, muziki bora kumekuwa sababu kubwa kwa wasanii wa kike kujiingiza katika mapenzi na watayarishaji wa muziki.
Vanessa alitoa siri hiyo juzi alipotembelea ofisi za New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African.
Alisema wasanii wengi wa kike wanajikuta wanahitaji fedha kwa ajili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani