Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jotoardhi kichocheo cha Uchumi - RC Arusha

Na Asteria Muhozya, ArushaImeelezwa kuwa, nguvu ya nishati mchanganyiko ikiwemo jotoardhi ni kichocheo na kipimo cha maendeleo kwa nchi yoyote kutokana na umuhimu wa nishati hiyo kwa  shughuli mbalimbali  zikiwemo za uchumi na  viwanda.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa  Wilaya ya Arusha John Mongela wakati akifungua mafunzo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo, kuhusu masuala yanayohusu  jotoardhi yaliyoanza leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC).
Mafunzo hayo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hatifungani ni kichocheo cha maendeleo

Serikali inapotaka kufanya shughuli za maendeleo inaweza kuamua kuuza hatifungani (bond) kwa umma na wananchi watakaponunua hizo hatifungani wanakuwa wamewekeza. Hivyo utakuwa ni wajibu wa Serikali kuwalipa riba hawa wawekezaji katika hatifungani hizo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Sefue: Ubunifu kichocheo cha maendeleo




NA WILLIAM SHECHAMBO WATANZANIA wametakiwa kujijengea utamaduni wa kubuni mambo mbalimbali ya kimaendeleo kwa kutumia sayansi na teknolojia kwa kuwa hakuna maendeleo bila ubunifu. Balozi Ombeni SefueViongozi wa nchi wamekuwa wakionyesha njia katika ubunifu kwenye sekta zote tangu awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere, mpaka sasa ambapo maendeleo yanazidi kuonekana wakati nchi ikielekea kwenye uchumi wa kati. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alitoa rai hiyo Dar es Salaam jana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Rushwa ni kichocheo kikubwa cha umaskini nchini

Rushwa ni miongoni mwa sababu au vichocheo vikubwa vya umasikini hapa nchini. Siyo kichocheo cha umasikini tu, bali pia ni kikwazo kikubwa cha maendeleo.

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA UENDELEZAJI JOTOARDHI HAPA NCHINI YATOA ELIMU YA NISHATI YA JOTOARDHI KWA WAKAZI WA KISAKI, MOROGORO VIJIJINI

 Mkurugenzi  wa Mipango na Maendeleo ya Biashara, Mhandisi Kato Kabaka (aliyesimama), kutoka Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania akitoa elimu kwa wananchi wa kata ya Kisaki wilaya ya Morogoro Vijijini namna ya kutafiti nishati ya Jotoardhi hadi hatua ya kuzalisha umeme na jinsi itakavyoweza kubadili maisha ya wananchi wa kata hiyo.Wananchi wa kata ya Kisaki, Morogoro Vijijini wakimsikiliza kwa makini Bi. Eva Nyantori, Afisa Sayansi ya Jamii kutoka Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi...

 

10 years ago

Mtanzania

Gharama za muziki kichocheo cha mapenzi kwa wasanii

vanessa...NA NYEMO MALECELA
VANESSA Mdee ambaye ameutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa ‘No body but me’, ameweka wazi kwamba kushindwa kumudu gharama za uandaaji wa video, muziki bora kumekuwa sababu kubwa kwa wasanii wa kike kujiingiza katika mapenzi na watayarishaji wa muziki.
Vanessa alitoa siri hiyo juzi alipotembelea ofisi za New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African.
Alisema wasanii wengi wa kike wanajikuta wanahitaji fedha kwa ajili ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu jinsi unavyoweza kutumia kushindwa kwako kama kichocheo cha kupata ushindi maishani

Je umewahi kushindwa kutenda jambo lilikuwa muhimu sana kwa maendeleo ya maisha yako? Je hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache sana? Inapotokea huwa unafanya nini? Huwa unakata tamaa kabisa na kuacha kujaribu tena? Kabla hujatafakari sana kuhusu suala hili hebu soma taarifa yangu fupi kuhusu suala hili.

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAMPANDISHA MAHAKAMANI MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA CHA SIMON LEMEYA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

Charles James, Michuzi TV.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Simanjiro, Manyara kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itamfikisha katika Mahakama ya Wilaya mmiliki wa Kituo cha mafuta cha Simon Lemeya kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Lemeya atafikishwa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro leo Juni 22 kwa makosa ya kughushi, matumizi ya nyaraka, kudanganya na kuisababishia serikali hasara ya Sh Milioni 5,609,000 kinyume cha sheria ya uhujumi uchumi Cap 200 marejeo ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI DKT. MAHIGA ATEMBELEA KITUO CHA MIKUTANO CHA KIMATAIFA CHA AICC JIJINI ARUSHA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa ,Balozi Augstine Mahiga amesema eneo la Laki Laki lililopo wilaya ya Arumeru mkoani Arusha lililotengwa kwaajili ya ujenzi wa taasisi za kimataifa utaifanya Tanzania kung'ara duniani.
Balozi Mahiga alisema hayo Desemba 19 baada ya kufanya ziara kwenye eneo hilo na Kituo cha mikutano cha kimataifa cha AICC .
Eneo hilo litajengwa Mahakama ya Kimataifa ya Kimbari(MICT)Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR) na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki Samsung yalenga kukuza uchumi wa jiji la Arusha

Mike-and-Nawaz-Swahili

Kampuni ya Samsung inazindua rasmi  duka kubwa na kituo chake cha huduma kwa wateja lililopo barabara ya Sokoine mjini Arusha siku ya leo. Uzinduzi huo utawawezesha wateja wake wote mkoani Arusha kupata huduma stahiki na bidhaa halisi za Samsung. Kituo hiki ni cha kwanza kuzinduliwa mkoani Arusha na kampuni hii yenye idadi kubwa ya watumiaji na vifaa bora vya kielektroniki ulimwenguni.

“Mtazamo wa maisha ya wateja hubadilika kwa kasi kubwa na kuwafanya kuongeza mahitaji ya bidhaa na huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani