SERIKALI YAZINDUA UJENZI WA KITUO KIKUBWA CHA TIBA YA MOYO NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Rr8EigiMtG0/VfKVwUCDOcI/AAAAAAAH3-M/aQWWKPrGX-I/s72-c/PIC%2B1.jpg)
Mkurugenzi wa Elimu ya juu kutoka Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Stadi, Prof. Sylivia Temu akizungumza wakati wa uzinduzi mradi wa ujenzi wa kituo cha ubora wa sayansi ya magonjwa na mishipa ya moyo hapa nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kituo hicho kitakachokuwa na uwezo wa kutoa huduma za kitabibu na kitafiti kwenye magonjwa hayo kwa nchi zote za ukanda wa Afrika mashariki na kitakuwa chini ya usimamizi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi09 Sep
RUGEMALIRA KUJENGA KITUO KIKUBWA CHA TIBA YA SARATANI YA MATITI BUKOBA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JaZzn12IcZU/VovY3II8VNI/AAAAAAAIQqk/dB8txbFwyMI/s72-c/814.jpg)
BALOZI SEIF ALI IDDI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA KITUO CHA TIBA NA MAREKEBISHO YA TABIA KWA VIJANA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-JaZzn12IcZU/VovY3II8VNI/AAAAAAAIQqk/dB8txbFwyMI/s640/814.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Xn1S6OJ98OE/VovY3QMn9HI/AAAAAAAIQqg/jrocdlVPRJU/s640/822.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RqVr80qmTLs/XqMHuJHX-ZI/AAAAAAALoHU/MUDGAmh3YlMlJdaJkT411uDn30ViIQfxQCLcBGAsYHQ/s72-c/a41a9380-d169-44e2-9974-ad4d1c8b91d6.jpg)
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar
![](https://1.bp.blogspot.com/-RqVr80qmTLs/XqMHuJHX-ZI/AAAAAAALoHU/MUDGAmh3YlMlJdaJkT411uDn30ViIQfxQCLcBGAsYHQ/s640/a41a9380-d169-44e2-9974-ad4d1c8b91d6.jpg)
(JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuona namna ambavyo madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza kutoa huduma kwa wagonjwa hao.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/3c2cd5fd-6b2b-42d2-be30-a77349e8dea5.jpg)
Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) Dkt. Stanley Binagi akielezea...
10 years ago
Michuzi14 Nov
NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU MKOANI DODOMA
![1](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/r-tQZqy8PH7f_inBM6_Ovwu3tsLLHkq3SmHT1mG1kk-TUZkvVr7Hzolv5zo6SIMvgw0E6BdfLXG6mdTap2GCbaxcJCC_Dw7vM2JW6ChZPit4mX7IbiuN=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/132.jpg)
Kituo hiki kitahudumia wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa ya jirani ya na mkoa wa Dodoma na kinajengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa gharama ya shilingi Bilioni 36 ambazo zimetolewa na mfuko huo kwa silimia 100.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali wanaohudhuria kongamano la Mfuko...
10 years ago
Michuzi13 Nov
NHIF YAJENGA KITUO KIKUBWA CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA BINADAMU UDOM MKOANI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-6uZC2qqFLE4/VGR-asVfGRI/AAAAAAAGw48/ZPiH2BXcPmQ/s1600/7.jpg)
Kwa mujibu wa Profesa Shaban Mlacha,amesema kuwa kituo hicho kitajikita zaidi kwenye magonjwa ya uchunguzi /Utafiti na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pA-lQqd-nRQ/Xrr4cfzSb-I/AAAAAAALp-g/rPuNjYMdCmU15EQ3_D5_gFCdbJeAt8yzACLcBGAsYHQ/s72-c/8d0703c6-698b-4ef3-bf3f-4956c4121950.jpg)
KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE
KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.
Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.
Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...
10 years ago
Dewji Blog07 Nov
DANGOTE akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha Saruji Mtwara
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of Industries), Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, akiteremka kwenye ndege alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara, kwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha saruji kinachojengwa mkoani humo.,
Dangote akilakiwa na Mwakilishi Mkazi wa kampuni hiyo nchini, Esther Baruti (kushoto)
Dangote akisalimiana na Balozi Mdogo wa Nigeria nchini, Adamu Mussa
Dangote...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Rushwa ni kichocheo kikubwa cha umaskini nchini
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Kiasi kingine kikubwa cha gesi chagunduliwa nchini