Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM, CUF kuridhiana kura ya maoni ya Katiba ni faida kwa Wazanzibar

Ni ukweli usiopingika kwa miaka mingi viongozi wa kisiasa wa CCM na CUF upande wa Zanzibar kwa pamoja, wamekuwa wakipigania suala la mafuta na gesi asili liondoshwe katika orodha ya mambo ya Muungano ili Visiwa vya Zanzibar vipate nguvu za kujijenga kiuchumi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vyama vya CCM, CUF wavutana kura ya maoni Zanzibar

Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kitafanya kampeni maalumu kuhakikisha kura ya maoni ya Katiba ya Muungano inashinda Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kinajipanga kufanya kampeni nzito kupinga rasimu hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI

Kabla ya mkutano kuanza, picha ya juu na chini zinazofuata, zikionyesha  kisimamo cha dakika moja kumuombe na kada  na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, John Komba

MC katika mkutano huo, Bw.Libe Mwang'ombe, aliyeumudu kuuendesha mkutano kwa utaratibu uliotakiwa na kwa usalama hadi mwisho bila jazba hadi mwisho masuali yaliulizwa kwa vifungu na kujibiwa ipasavyo   Dada Salma akiuliza suali kwa wakati wake, masuali mengi yaliulizwa na wadau mbali mbali ambyo yalikuwa ya msingi kwa mustakabali...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO KATIBA MPYA: Kwa nini muda wa BVR hautoshi kwa Kura ya Maoni

>Kazi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia Mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR) imezunduliwa Februari 24 mwaka huu na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye pamoja na mambo mengine, ameweka wazi kuwa mtu atakayeshindwa kujiandikisha, atakosa fursa ya piga kura ya maoni kwa ajili ya Katiba mpya.

 

10 years ago

Habarileo

‘Sihami CCM kwa kushindwa kura za maoni’

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Singida, Diana Chilolo amesema, hawezi kukimbilia upinzani kwa sababu ya kushindwa kwenye kura za maoni za ubunge viti maalumu.

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yaweka kizingiti kingine Kura ya Maoni

>Wakati Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  akisubiri Sheria ya Kura ya Maoni iwasilishwe kwenye chombo hicho Machi kwa ajili ya kuridhiwa, CUF imesema haipo tayari kuhalalisha sheria yoyote itakayotumika kupitisha Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri wawili CUF watupwa kura za maoni

>Mawaziri wawili wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutoka CUF na wabunge wengine wakongwe wa chama hicho wamepigwa mwereka kwenye kura za maoni za kutafuta wagombea wa nafasi za uwakilishi na ubunge kwa majimbo 50 ya Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

11 years ago

Habarileo

JK: Kura ya Maoni Katiba Aprili 2015

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba mpya. Aliyasema hayo jana jijini hapa wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani