Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM, CUF ZANZIBAR HALI TETE!

Hali tete! Hiyo ndiyo kauli inayoweza kutumika kuelezea hali halisi ya kisiasa visiwani Zanzibar katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015 kufuatia vitendo vya uvunjaji wa amani vinavyoendelea visiwani humo, tukio jipya likiwa ni wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) kushambuliwa kwa mapanga na kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa Naibu Mkurugenzi wa Haki za Binadamu wa CUF, Bibi Pavu Juma, katika tukio hilo vijana waliokuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CUF Nachingwea waigeuka Ukawa, Handeni hali tete

Wakati Chama cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi kimesema kitahamasisha wanachama wake hawaupigii kura Ukawa, hali bado tete katika Jimbo la Handeni mkoani Tanga ambako Chadema kimepanga kusimamisha wagombea katika nafasi zote za ubunge na udiwani.

 

10 years ago

Mtanzania

Hali tete Zanzibar

1234Na Is-haka Omar, Zanzibar
HALI ya usalama visiwani Zanzibar imechafuka baada ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuvamiwa na kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kutokana na vurugu hizo, watu 25 waliokuwa wakitokea katika mkutano wa CUF uliokuwa unafanyika Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja wamejeruhiwa, huku wanne kati yao wakilazimika kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio...

 

9 years ago

BBCSwahili

Djibout na Zanzibar Heroes hali tete

Michuano ya CECAFA CHALENJI CUP 2015 imeendelea jana jumatano kwa michezo minne ya hatua ya makundi.

 

10 years ago

Mtanzania

HALI TETE BURUNDI

Rais wa Burundiwananchi wa BurundiWaandishi Wetu, Bujumbura na Dar
JARIBIO la mapinduzi lilifanyika jana nchini Burundi kumpindua Rais Pierre Nkurunzinza kupinga mpango wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Maelfu ya watu walimiminika katika mitaa ya mji mkuu wa taifa hilo, Bujumbura, kushangilia tangazo la mapinduzi lililotolewa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Hata hivyo, matokeo ya mapinduzi hayo yalikuwa mbali na uhalisia.
Uamuzi wa Jenerali Niyombareh ambaye alitimuliwa na Nkurunzinza kama mkuu wa usalama...

 

9 years ago

Raia Mwema

hali tete TanzaniteOne -2

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene mwishoni mwa wiki (Ijumaa iliyopita) alifanya zi

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Mwananchi

Hali tete Msimbazi

Uongozi wa Klabu ya Simba umeingia katika mgogoro wa kisheria na wachezaji wake 10 baada ya kuvunja mikataba yao na kuwapa barua ili wasajiliwe na timu nyingine msimu ujao.

 

10 years ago

Raia Mwema

Hali tete TanzaniteOne

HALI ya mambo si shwari ndani ya kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite ya TanzaniteOne, iliyo

Paul Sarwatt

 

9 years ago

BBCSwahili

Zanzibar: CUF yashtumu wito wa CCM

Chama cha CUF visiwani Zanzibar kimewataka wananchi visiwani humo kupuuza wito wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwataka wazanzibari wajiandae kwa marudio ya uchaguzi visiwani humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yavilipua CCM, CUF Zanzibar

WAKATI Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ikitimiza miaka mitatu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema mfumo wa serikali hiyo Zanzibar umeshindwa kudhibiti ufisadi na kuua dhana ya demokrasia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani