Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM HAIJAWAHI KUTOKEA!

Mwandishi Wetu
NIJohn Pombe Joseph Magufuli ambaye amepita kwa kishindo na ‘usimpimie’ kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan, lakini yaliyojiri katika mchakato wa kumpata mgombea huyo, hayajawahi kutokea, Ijumaa Wikienda limechimba na kuchimbua. Mh.John Pombe Joseph Magufuli akiwashukuru wajumbe baada ya kumteua kuwa mgombea wa CCM. Sarakasi zilikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Jimbo la Singida Mjini haijawahi kutokea, waingia kwa staili ya aina yake wakitumia Bodaboda na Bajaji

DSC_0204

Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mh. Mwigulu Nchemba wakiwa kwenye boda boda, wakati wa msafara wa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika eneo la viwanja vya People’s Club mjini Singida.

DSC_0232

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana , sambamba na Katibu wa Itikadi na  Uenezi Nape Nnauye,wakiwasili kwenye viwanja vya People’s Club kwenye mkutano wa hadhara kwa staili ya aina yake kwa...

 

10 years ago

GPL

HAIJAWAHI KUTOKEA, MAPACHA 5 WAZALIWA MAREKANI

Bi. Danielle Busby akifurahi kuwaona wanawe baada ya kujifungua mapacha watano wote wakiwa hai. Wakunga wakiwatazama watoto waliozaliwa.…

 

10 years ago

Habarileo

‘CCM haijawahi kupata Katibu Mkuu kama Kinana’

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi jengo jipya la hospitali ya wilaya ya Monduli kwa kushirikiana Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa jana wakati wa ziara ya siku tisa ya katibu huyo mkoani Arusha. (Na Adam Mzee).ALIYEKUWA Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakijawahi kupata Katibu Mkuu hodari na mchapakazi wa mfano wa Abdulrahman Kinana, tangu kuanzishwa kwake.

 

10 years ago

Mwananchi

Du! Haijawahi tokea duniani

Hii kali, hicho ndicho unachoweza kusema wakati mashabiki wa Yanga walipoamua kuishangilia Azam ikiifunga Yanga mabao 2-1 na kuizima ndoto ya Simba kucheza mashindano ya Afrika mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Hati ya Muungano haijawahi kuiondoa Tanganyika

Wajumbe waliowachache wa Bunge la Katiba jana waliendelea kuitetea iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Jaji Joseph Warioba kuwa haijavunja hati ya Muungano na kueleza, hati hiyo haijaifuta Serikali ya Tanganyika na hakuna kifungu ambacho kinapendekeza Muundo wa Serikali mbili.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AITIKISA MWANZA, HAIJAWAHI TOKEA!

Njemba mmoja akipiga push up wakati msafara wa Dk Magufuli ukipita. Dada akimfagilia njia Magufuli Afande akimtoa barabarani mdada aliyekuwa akifagia barabara ili Magufuli apite pakiwa safi.…

 

10 years ago

Habarileo

Shule ya msingi haijawahi kufelisha tangu ianzishwe

SHULE ya Msingi ya Southern Highlands iliyopo mjini Mafinga, mkoani Iringa imesema tangu kuanzishwa kwake miaka 13 iliyopita hakuna mwanafunzi aliyewahi kufeli mtihani wa darasa la saba.

 

10 years ago

Mwananchi

Maafa ya wakimbizi wa kutokea Eritrea

Kati ya nchi za Ulaya, Ujerumani ndiyo inayopokea wakimbizi wengi wa kutokea Eritrea.

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKEA KWENYE MIWANI

 Taswira ya wadau wakiserebuka,iliyonaswa kutoka kwenye kioo cha Miwani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani