Du! Haijawahi tokea duniani
Hii kali, hicho ndicho unachoweza kusema wakati mashabiki wa Yanga walipoamua kuishangilia Azam ikiifunga Yanga mabao 2-1 na kuizima ndoto ya Simba kucheza mashindano ya Afrika mwakani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/mshakaji-akipiga-push-up-wakati-msafara-ukipita.jpg)
MAGUFULI AITIKISA MWANZA, HAIJAWAHI TOKEA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHmXNI-tCTqNgQh-gO3ke-L6YLJlzZWh-4rcsliRaKQezMcqPA084aRmECWqIt*tMv98DhHM7jTyQS8kDARi*VclJV-5hzAx/frontwikiendadar.gif?width=650)
CCM HAIJAWAHI KUTOKEA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5Oj5JvHbyLzpI1lvPhPFrznMF1DedIccLxZmPZ6cK3kixt8Yanoqp2EqzMc55V1YbnwWA5azfCkEOuvnLShtk4a/150416102304_bi_busby__alihitaji_upasuaji_uliojumuisha_madaktari_na_wauguzi_12_kujifungua_watoto_hao_5_624x351_bbc_nocredit.jpg?w)
HAIJAWAHI KUTOKEA, MAPACHA 5 WAZALIWA MAREKANI
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Hati ya Muungano haijawahi kuiondoa Tanganyika
10 years ago
Habarileo19 Sep
Shule ya msingi haijawahi kufelisha tangu ianzishwe
SHULE ya Msingi ya Southern Highlands iliyopo mjini Mafinga, mkoani Iringa imesema tangu kuanzishwa kwake miaka 13 iliyopita hakuna mwanafunzi aliyewahi kufeli mtihani wa darasa la saba.
10 years ago
Habarileo15 Mar
‘CCM haijawahi kupata Katibu Mkuu kama Kinana’
ALIYEKUWA Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakijawahi kupata Katibu Mkuu hodari na mchapakazi wa mfano wa Abdulrahman Kinana, tangu kuanzishwa kwake.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-2_NkAHtfjzs/VUPy35TiHMI/AAAAAAADlq0/kYGHIxamhCs/s72-c/MMGL0172%2Bcopy.jpg)
KUTOKA KITAA HUKU NDIYO TULIKO TOKEA
![](http://1.bp.blogspot.com/-2_NkAHtfjzs/VUPy35TiHMI/AAAAAAADlq0/kYGHIxamhCs/s1600/MMGL0172%2Bcopy.jpg)
Najua ungetamani kuingia ndani ya kichwa cha huyu first lady wa siku zijazo lakini ujumbe uliopo juu yake ni changanuo tosha wa kile kilicho mawazoni mwake.
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Mapokezi, mkutano wa Dkt. Magufuli haijapata tokea Mwanza
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Bendera za CCM zikiwa zimepamba msafara wa Dkt. Magufuli kutoka Uwanja wa Ndege hadi jijijini Mwanza.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwaaga baada ya mkutano wa kampeni kumalizika katika viwanja vya...
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Mfuko wa Pensheni wa PSPF watimiza miaka 15 tokea kuanzishwa kwake
Mkurugenzi wa Idara ya Habari- Maelezo, Bw Assah Mwambene akizungumza jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari na Viongozi wa Mfuko wa Hifadhi wa Pensheni wa PSPF mapema leo katika Ukumbi wa JB Belmonte, Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa pensheni wa PSPF, Bw Adam Mayingu akizungumzia mafanikio ya mfuko wa PSPF katika kipindi cha Miaka 15 tokea kuanzishwa kwake katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika Ukumbi wa JB Belmonte Jijini Dar.