Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM hii? Labda nyingine!

NATAKA kuamini kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kuacha fedha chafu, kwa sababu itakuwa sawa na kung’ata kidole kinachopeleka chakula mdomoni. Nitasimulia kidogo. Mnamo Machi 2006, Rais Jakaya Kikwete akiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

Labda CCM itawale milele kunusuru Muungano wa serikali mbili

>Hadi  sasa imebainika kuwa  kitu ‘kinachowasha moto’ siyo muundo wa serikali, bali ni aina gani ya muundo wa serikali unaoweza kuunusuru Muungano huu uliodumu kwa  miaka 50.

 

9 years ago

Bongo5

Hii ni kazi nyingine inayomuingiza mkwanja Jay Moe

1390049_1490632847895369_3642028_n

Usipomsikia Jay Moe kwenye redio usidhani hayuko busy kutafuta mkwanja.

1390049_1490632847895369_3642028_n

Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Jay Moe alisema anajihusisha na masuala ya ujenzi.

“Fursa ziko nyingi ukiwa mtu fulani mashuhuri kwahiyo unaweza ukapata nafasi nyingi na unaweza ukazichagamkia kupitia celebrity status,” alisema.

“Mimi najihusisha na masuala ya ujenzi, kuinvest kwenye ardhi zaidi, kwahiyo napata pesa kwaajili hiyo.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

5 years ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Beka Flavour anakuletea hii nyingine ya kuitazama

Baada ya staa wa muziki wa Bongo Fleva Beka Flavour kuachia ngoma yake yakibenten na kufanya vizuri this time anakusogezea nyingine ya kuitazama “Noana kiza”akiwa kasimama mwenyewe kwenye ngoma hiyo.

bofya PLAY kuitazama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani