Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM IKUNGI CHATOA KARIPIO KWA WANAOJIPITISHA PITISHA KUTOA RUSHWA ILI WACHAGULIWE

Na Jumbe Ismailly IKUNGI
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida
kimekamilisha zoezi la kutoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za
vijiji,mitaa na vitongoji waliochaguliwa katika uchaguzi wa serikali
za mitaa na kutoa karipio kali kwa baadhi ya watu wanaotarajia
kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu ujao
walioanza kujipitisha pitisha na kutoa rushwa kwamba majina yao
hayatasita kukatwa.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ikungi,Bwana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wagombea CCM, Ukawa vinara wa kutoa rushwa

Mwamvuli wa waangalizi wa ndani wa uchaguzi (Cemot), umetoa ripoti ya mwenendo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini wa mwezi mmoja inayoonyesha kuwa CCM imeongoza kwa kujihusisha na rushwa ikifuatiwa na Ukawa.

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIA WAWILI WA CHINA WAFIKISHWA KORTINI KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA MILIONI 11.5 KWA KAMISHNA MKUU WA TRA

 Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii
RAIA wa wawili wa China wanaoishi Mkoa Iringa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shitaka la kutoa rushwa ya Sh. Milioni 11.5 kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Dk. Edwin Mhede.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU ) Mwakatobe Mshana imewataja washtakiwa hao kuwa ni Heng Rongnan (50) na Ou Ya (47) wote wakazi wa Kinyambo ...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda: Kataeni wanaotaka uongozi kwa kutoa rushwa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa, ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kutoa elimu kwa jamii kuepuka rushwa

Kurugenzi wa TAKUKURU Dr Edward HoseahTAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema ina mpango mkakati unaowahusisha wadau mbalimbali wa namna ya kuielimisha jamii ielewe juu ya madhara ya rushwa ili kwa pamoja, iweze kusaidia katika mapambano ya kuitokomeza.

 

5 years ago

CCM Blog

CCM YAMVUA UANACHAMA MEMBE, KINANA YAMPA KARIPIO, YAMSAMEHE MZEE MAKAMBA

<<Kutoka kushoto ni Waziri wa zamani Bernard Membe, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM Yusuf Makamba na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana,

NA BASHIR NKOROMO, Dar es Salaam
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemvua uanachama Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Bernard Membe huku Katibu Mkuu mstaafu Abdulrahman Kinana akipewa karipio na kutakiwa kutogombea nafasi yoyote ndani ya chama kwa miezi 18 na Katibu Mkuu mwingine mstaafu Yusuf Makamba akisamehewa.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya...

 

10 years ago

GPL

SANDRA: SIJAWAHI KUTOA RUSHWA YA NGONO KWA ‘DAIREKTA’

Na Imelda Mtema
MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na wala hajawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ kama ilivyo kwa wengine. Msanii wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akizungumza na mwandishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI MWENYEKITI WA SOKO KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara, imemfikisha kwenye Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko la Mirerani, Yesaya Songelaeli Yindi kwa makosa ya rushwa. 
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu, Juni 9 mwaka huu, Songelaeli ameshtakiwa kwa kosa la kutoa rushwa ya shilingi 407,000 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yefred...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani