CCM kijifunze vilipo vyama vya ukombozi vya Kenya, Malawi na Zambia
Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kutoa kauli kadhaa za kuonya, kufundisha na kukaripia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL10 years ago
MichuziKINANA AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama Rafiki vilivyopigania Ukombozi wa Nchi Kusini mwa Afrika (FLM). Kushoto kwa Kinana ni Katibu Mtendaji Mkuu wa ZANU-PF ya Zimbabwe Comrade Didymus Mutasa na anayefuata ni Katibu Mkuu wa ANC ya Afrika Kusini Comrade Gwede Mantashe. Kulia kwa Kinana aliyevaa miwani ni Katibu Mkuu wa MPLA ya Angola Comrade Juliao Mateus Paulo 'Dino Matrosse' na anayefuata ni Katibu Mkuu wa SWAPO Party ya Namibia Comrade...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi10 years ago
GPLMAHAKAMA KUU KENYA YAKUBALI OMBI LA VYAMA VYA MASHOGA KUSAJILIWA
9 years ago
StarTV22 Aug
Polisi yapiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama
Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja
Polisi nchini imepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya kisiasa , vyenye mwelekeo wa kijeshi kufanya kazi za ulinzi hadharani kwa madai kuwa vinaingilia majukumu yao.Onyo hilo lilitolewa jana na Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mfunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waaandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam.
Chagonja alivitaja vikundi hivyo na vyama vyao kwenye mabano kuwa ni Green Guard (CCM),...
10 years ago
GPLUSINZIBE MDOMO VIKOSI VYA ULINZI VYAMA VYA SIASA?!
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA
“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”
Waziri Mkuu...