MAHAKAMA KUU KENYA YAKUBALI OMBI LA VYAMA VYA MASHOGA KUSAJILIWA
![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3Oflt4SOO*O7aUCAFGbxBSKZ0VSCCMTboCWY6aL7Ch35fEsXt5P6MonuGT0u6hxesr6uywp-rLD3YRy2eGn2gXN/SupremeCourt822x280.jpg?width=650)
Mahakama Kuu ya Kenya. Katika hatua ya kushitua, Mahakama Kuu nchini Kenya imesalimu amri mbele ya mashinikizo ya watetezi wa vitendo vichafu vya ulawiti, usagaji, ushoga na kusema kuwa sasa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo vya uasherati wanaweza kusajili mashirika ya kile kinachodaiwa ni kutetea haki zao za kibinadamu. Majaji watatu wa mahakama hiyo wameiamuru Bodi ya Kusimamia Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs)...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Mahakama Kuu yatupa ombi la Sheikh Ponda
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali ombi la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda la kufanya mapitio ya uamuzi wa Mahakama ya...
11 years ago
Habarileo03 Jun
DPP aiomba Mahakama Kuu kutupa ombi la Ponda
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali ombi la Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Shekhe Issa Ponda kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.
10 years ago
Mwananchi08 Oct
CCM kijifunze vilipo vyama vya ukombozi vya Kenya, Malawi na Zambia
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu Divisheni ya Kazi nchini.
Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Sf6EWHNfuxw/XllAw6P-G7I/AAAAAAALf9I/y_CORtVkQzUSO-twLZgUTBsacp6OXC29wCLcBGAsYHQ/s72-c/4bppa8a80699c4154m1_800C450.jpg)
Mahakama Kuu ya Kenya yatoa amri ya kusitishwa ndege zote kutoka China
![](https://1.bp.blogspot.com/-Sf6EWHNfuxw/XllAw6P-G7I/AAAAAAALf9I/y_CORtVkQzUSO-twLZgUTBsacp6OXC29wCLcBGAsYHQ/s640/4bppa8a80699c4154m1_800C450.jpg)
Mahakama Kuu ya Kenya imetoa amri ya kusitishwa kwa muda ndege zote kutoka China zinazoingia katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki kufuatia kesi kuhusu virusi vya Corona iliyowasilishwa na chama cha mawakili wa nchi hiyo.
Amri hiyo ya Mahakama Kuu ya Kenya inataka kusitishwa kuingia nchini humo ndege kutoka China kwa kipindi cha siku kumi.
Akitoa hukumu yake leo Jaji James Makau ameziagiza Wizara ya Usalama wa Ndani na ya Afya kuwatafuta abiria wote 239 waliowasili nchini...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-UDdZgbyE2NQ/XllAsybmZXI/AAAAAAACzrI/FEioO4m5xcslemsAgjfm0fZwPRNhwmtbQCLcBGAsYHQ/s72-c/_111072171_26930139-ee7c-4adb-88b8-1a076d453df1.jpg)
MAHAKAMA KUU YA KENYA YATOA AMRI KUSITISHWA SAFARI ZA NDEGE KUTOKA CHINA
![](https://1.bp.blogspot.com/-UDdZgbyE2NQ/XllAsybmZXI/AAAAAAACzrI/FEioO4m5xcslemsAgjfm0fZwPRNhwmtbQCLcBGAsYHQ/s640/_111072171_26930139-ee7c-4adb-88b8-1a076d453df1.jpg)
Amri hiyo ya Mahakama Kuu ya Kenya inataka kusitishwa kuingia nchini humo ndege kutoka China kwa kipindi cha siku kumi.
Akitoa hukumu yake leo Jaji James Makau ameziagiza Wizara ya Usalama wa Ndani na ya Afya kuwatafuta abiria wote 239 waliowasili nchini Kenya kutoka China kupitia uwanja wa...
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Coronavirus: Mahakama kuu ya Kenya imeagiza kusitishwa kwa ndege zote kutoka China
10 years ago
BBCSwahili07 May
Mahakama yakubali Nkurunziza agombee