Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM kuvalia njuga utalii


Kinana amesema Chama kitahakikisha sekta ya utalii inakua kadri ilivyopangwa.
Pia amesema nchi imepiga hatua, lakini bado kuna tatizo la urasimu katika maeneo mengi.
Katibu Mkuu alisema hayo alipozungumza na wakazi wa mji wa Mto wa Mbu mkoani Arusha.
Alisema urasimu ndani ya sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii umekuwa kikwazo kwa wawekezaji.
ìMtu anakuja leo unamwambia aje kesho na kila siku jambo hilo linajirudia ndiyo chanzo cha watu kukata tama,îalisema.
Alisema CCM ni Chama chenye dhamana na...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Thubutu kuvalia 'Mini Skirt' Uganda

Rais Yoweri Museveni, ameidhinisha sheria inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya kuvalia nguo fupi zinazoonyesha uchi wao

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndani saa 3 kwa kuvalia 'Mini Skirt' UG

Wanawake 2 walizuiliwa kwa masaa 3 na mahakama moja nchini Uganda kwa kuingia mahakamani wakiwa wamevalia 'Mini Skirt'.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwigizaji azabwa kofi kwa kuvalia nguo fupi

Mwigizaji maarufu wa Bollywood ambaye pia ni mwanamitindo, Gauhar Khan, alizabwa kofi wakati wa shughuli ya kurekodi makala ya kipindi kuhusu maisha yake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wachezaji wa EPL kuvalia fulana za 'Black Lives Matter’

Wachezaji wa Ligi Kuu ya England watavalia jezi iliyochapishwa maneno 'Black Lives Matter’ mgongoni katika mechi 12 za mwanzo ligi hiyo itakaporejelewa Juni 17.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wazazi washtakiwa kwa 'kumruhusu' mtoto wao kuvalia nguo za kike

Luiz aliruhusiwa kuvalia nguo za kischana tangu alipokuwa na miaka mitatu baada ya wazazi wake kusadiki kwa ana jinsia mbili. Familia hiyo iliishia kuchunguzwa ili kubaini ikiwa ilikiuka haki ya mtoto huyo.

 

10 years ago

Michuzi

wizara ya MALIASILI NA UTALII YAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

IMG-20140704-WA0013Waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu akifungua rasmi mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO jijini Arusha hivi karibuni. IMG-20140704-WA0009Wadau mbalimbali wa utalii wakisikiliza mada kwa umakiniIMG-20140704-WA0004MAKAMPUNI ya kitalii hapa nchii yametakiwa kuutangaza kwa kiasi kikubwa utalii wa vivutio vyetu hapa nchini  ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi ili kuwapa wanachi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio walivyo navyo. Hayo yalisemwa juzi jijini Arusha na waziri...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Moshi Club kwa ajili ya kufungua rasmi maonesho ya kimatifa ya Kitalii yajulikanayo kama KiliFair 2015.Naibu waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akisalimiana na Naibu waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo wa Zanzabar Bi Hindi Khamis walipokutana katika maonesho hayo.Mgeni rasmi katika maonesho hayo,Naibu waziri wa utalii,Mohamed Mgimwa akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani