Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM Ubungo wamdhamini JPM kurudi Ikulu

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo, Lucas Mgonja ameongoza wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, kujaza fomu za kumdhamini mgombea urais wa CCM, Rais Dk. John Magufuli.Rais Magufuli amechukua fomu ya kuwania tena urais kwa kipindi cha pili jana jijini Dodoma na ameanza kusaka wadhamini 250 mikoani kama utaratibu wa CCM unavyoelekeza.
Taarifa ilitolewa leo na Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Ubungo, Mbaruku Masudi, ilieleza kuwa wajumbe hao wa Halmashauri Kuu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CCM isitegemee kurudi Ikulu — CHADEMA

MWANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lilian Wassira, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kisitegemee kurudi Ikulu kutokana na matendo ya viongozi wake. Wasira alitoa kauli hiyo juzi katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 20 ndani ya Ikulu JPM vs JK

Kasi ya utendaji kazi aliyoanza nayo Rais John Magufuli katika muda wa siku 20 inaonekana kubwa na ya aina yake lakini hivyo ndivyo ilikuwa kwa mtangulizi wake, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, miaka 10 iliyopita.     

 

5 years ago

CCM Blog

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAMPONGEZA JPM KUKUTANA NA WAPINZANI, IKULU

Itakumbukwa kuwa mapema wiki hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, . Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi watatu wa vyama vya upinzani. 

Viongozi hao ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalimu Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Bwana James Mbatia, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). 

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)...

 

9 years ago

MillardAyo

Safari za nje TZ? Nauli mwendokasi? ‘Bomoabomoa’ Dar na Moshi? Rais JPM kajifungia Ikulu, ‘majipu’? (+Audio)

Alhamisi January 07 2016 imeanza na huu uchambuzi wa stori kubwa za Magazetini, hizi ni baadhi yake na sauti niliyokurekodia. Oparesheni ya kutimua wageni wasio na vibali kuanza leo, bomoabomoa Dar kuathiri watu 200,000 ambao watakosa makazi ya kuishi… Rais Magufuli ajifungia miezi miwili Ikulu bila kusafiri, atumbua vigogo Serikalini. Serikali yapinga nauli za mabasi […]

The post Safari za nje TZ? Nauli mwendokasi? ‘Bomoabomoa’ Dar na Moshi? Rais JPM kajifungia Ikulu, ‘majipu’? (+Audio)...

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA 29 YA ZIARA YA KINANA WAPINZANI WAZIDI KURUDI CCM


 Vitalu vya miche ya miti vinavyomilikiwa na Umoja wa Vikundi vya Kijamii wilaya ya Mufindi (UVIKIMU)
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kumwagia maji vitalu vya miche ya miti vinavyomilikiwa na Umoja wa Vikundi vya Kijamii wilaya ya Mufindi (UVIKIMU)
 Shamba la chai Ngwazi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchuma chai pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye shamba la chai Ngwazi wilaya ya Mufindi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

9 years ago

TheCitizen

CCM says Yes, we’re with JPM

The ruling CCM is happy with the ethical drive, effi-ciency and industriousness of President John Magufuli’s government and declared full support to the new Head of State.

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Hassan yahya Hussein afurahia kurudi kundini CCM

Maalim Hassan Yahya Hussein amerudi rasmi kundini CCM baada ya kuwa nje ya chama kwa takriban miaka 20 hivi na ushee.Maalim Hassan alijitosa katika safari yake ya kisiasa kwa kujiunga na CHADEMA ambapo katika  kipindi hicho aliwahi kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama hicho na pia udiwani kwa kupitia chama hicho hicho - lakini mara zote kura hazikutosha.Juzi alipokekelewa kwa shangwe na wanachama wa CCM  katika kata ya Mzimuni, Magomeni, katika mkutano wa kuwanadi wagombea...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Siwezi kamwe kurudi CCM hii ya sasa

Ni mengi yamesemwa kuhusu mwanasiasa huyu, Maalim Seif Shariff Hamad ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Yeye, ameshikilia nyadhifa mbalimbali tangu akiwa chama tawala, CCM hadi sasa akiwa Chama cha Wananchi (CUF). Ni nini zaidi anacho Maalim Seif? Endelea…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani