CCM wakataa ushiriki wa Wenyeviti badala ya wagombea
Wakati homa ya midaalo ikikaribia kuanza kwakuwashirikisha wagombea wa nafasi ya Urais Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakikubaliani na kauli iliyotolewa na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kuhusu ushiriki wa wenyeviti wa vyama vya siasa katika mdahalo unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa Septemba badala ya wagombea urais.
Aidha imeelezwa kuwa kauli zinazotolewa na umoja huo kuhusu kuibiwa kura wakati wa uchaguzi hazikubaliki kwa sababu zinaweza kuchochea uvunjifu wa amani...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Ngasongwa na ushiriki wa mdahalo badala ya Mkapa
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Wagombea urais wajivuta kuthibitisha ushiriki mdahalo
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Wagombea urais wajivuta kudhibitisha ushiriki mdahalo
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/12/109.jpg?width=600)
TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA
10 years ago
MichuziWENYEVITI WA TAIFA WA VYAMA VYA NCCR -MAGEUZI ,JAMES MBATIA NA AGUSTINE MREMA WA TLP WAWANADI WAGOMBEA WAO JIMBONI VUNJO.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VQ67_j7lens/UzJMLnpouAI/AAAAAAACdcc/qNbr7BJegtc/s72-c/a652Samuel-Sitta.jpg)
SITTA ATANGAZA MAJINA YA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-VQ67_j7lens/UzJMLnpouAI/AAAAAAACdcc/qNbr7BJegtc/s1600/a652Samuel-Sitta.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Wenyeviti CCM watishia kuhama
WENYEVITI wa serikali za mitaa nane kati ya 11 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Morogoro wametishia kujitoa katika chama hicho endapo chama hicho hakitamuomba radhi Diwani wa...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Rais na Serikali wanaitetea CCM, badala ya Watanzania