Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yaagiza madiwani wake kujikita serikali za mitaa

Abdallah BulemboCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka madiwani wake wote kushiriki kikamilifu katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku kikitishia kuwafukuza uanachama endapo watakiuka agizo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CCM TABORA YAWATUNUKU VYETI MAKADA WAKE WALIOKISAIDIA CHAMA HICHO KUPATA USHINDI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Katibu wa CCM mkoa wa Tabora Bi.Jannat Kayanda akimkabidhi cheti mmoja kati ya makada wa chama hicho Bw.Emmanuel Mwakasaka waliokisaidia kupata ushindi wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa,vijiji na vitongoji wilaya ya Tabora mjini ambapo CCM ilipata ushundi mkubwa dhidi ya vyama vya upinzani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM KATA YA SINZA YAWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUKIPA USHINDI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA


 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwahutubia wanaccm wa Kata ya Sinza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru kufuatia kukipa ushindi chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni. Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Cholaje akihutubia katika mkutano huo.
 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kulia), akielezea mafanikio ya maendeleo ya wilaya hiyo pamoja na...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yaweka mikakati ya Uchaguzi Serikali Mitaa

KATIKA kuhakikisha kinafanya vyema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimepanga kuzitumia siku za Jumamosi kwa mikutano ya kisiasa katika kata zote za manispaa hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM ‘yapoteza’ viti 2,600 Serikali za Mitaa

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa Serikali za mitaa nchi nzima yanayoonyesha kuimarika kwa upinzani.

 

10 years ago

StarTV

Serikali za Mitaa, CCM yajivunia ushindi wa asilimia 84

Na Lilian Mtono,

Dar es Salaam.

 

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema matokeo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa yaliyopatikana kwenye maeneo yaliyofanikiwa kufanya uchaguzi huo yanaonyesha chama hicho kushinda kwa asilimia 84.

Matokeo hayo, hayaunganishwi na yale yaliyofutiwa uchaguzi huo.

Wakati chama hicho kikieleza kuridhishwa na matokeo hayo ya ushindi, kwa upande mwingine kinasema kimesikitishwa na mapungufu yaliyojitokeza na kutaka hatua za haraka kuchukuliwa.

Hata hivyo Katibu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM wakuna vichwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) kilichoanza jana mjini hapa, pamoja na mambo mengine, kimelenga kuweka mkakati wa ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi ujao.

 

10 years ago

Habarileo

CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.

 

10 years ago

Habarileo

CCM kutovumilia watendaji mizigo serikali za mitaa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mara, Christopher Sanya amesema kuwa chama hicho hakitavumilia viongozi wake wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika jana ambao hawatawajibika ipasavyo kwa wananchi waliowachagua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani