CCM yabanwa, yashinda Nyamagana
JUMLA ya wagombea 96 wa CCM katika nafasi ya Uenyekiti wa Serikali za Mitaa kwenye kata zilizopo katika wilaya ya Nyamagana, wameshinda nafasi hiyo huku Chadema ikishinda katika mitaa 70.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania23 May
CCM Nyamagana waanza kufanyiana ushushushu
Na John Maduhu, Mwanza
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyamagana, kimeunda kamati za siri ili kufuatilia mienendo ya wagombea waliotangaza nia ya kuwania Jimbo la Nyamagana.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi jana, Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Elias Mpanda, alisema lengo la kuunda kamati za siri ni kudhibiti wagombea wanaotoa rushwa kwa wanachama wa CCM ili kuwashawishi kuwaunga mkono.
Alisema kamati hizo za siri pia zitakuwa na jukumu la kufuatilia kama watangaza nia hao wamekuwa...
9 years ago
Daily News29 Aug
CCM candidate for Nyamagana constituency sets election agenda
Daily News
NYAMAGANA CCM legislative candidate and the former Mwanza City Mayor, Mr Stanslaus Mabula, has urged Igogo ward residents to elect him for speedy development. He was addressing hundreds of 'wananchi' at Igogo grounds during his second ...
9 years ago
Mwananchi25 Aug
CCM yashinda majimbo matano
10 years ago
VijimamboNSSF Yashinda Bonanza la Pasaka Zanzibar Mpira wa Miguu Netiboli Yashinda ZSSF
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
CCM yashinda uchaguzi mdogo wa ubunge
9 years ago
StarTV19 Nov
CCM yashinda kata zote tatu mkoani Ruvuma
Chama cha Mapinduzi CCM kimeshindi uchaguzi wa madiwani katika kata tatu za mkoa wa Ruvuma.
Wasimamizi wa Uchaguzi katika majimbo ya Madaba na Namtumbo wamesema kata za Mkongo Gulioni na Lismondi washindi wote ni kutoka CCM.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Namtumbo akiongea kwa njia ya simu akitoa Matokeo amesema Jimbo la Namtumbo lilikuwa na Kata 2 zilizofanya Uchaguzi kugombea udiwani mgombea wa CCM Pandu Juma Alfani wa mkongo gulioni alimshinda mpinzani wake wa chadema Komba Dasitani...
10 years ago
Habarileo16 Dec
CCM yashinda viti vyote Monduli, Lowassa atamba
CHAMA Cha Mapinduzi wilayani Monduli imechukua nafasi zote katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OQNqlept6ZA/UyaVs2pHqnI/AAAAAAACcqs/7XjhzB477YE/s72-c/IMG-20140317-WA0001.jpg)
CCM YASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OQNqlept6ZA/UyaVs2pHqnI/AAAAAAACcqs/7XjhzB477YE/s1600/IMG-20140317-WA0001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vhJuSM-SSJU/UyaNwBA1W-I/AAAAAAACcqU/-dpC61Zc4ps/s1600/IMG_0099.jpg)