CCM Nyamagana waanza kufanyiana ushushushu
Na John Maduhu, Mwanza
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyamagana, kimeunda kamati za siri ili kufuatilia mienendo ya wagombea waliotangaza nia ya kuwania Jimbo la Nyamagana.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi jana, Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Elias Mpanda, alisema lengo la kuunda kamati za siri ni kudhibiti wagombea wanaotoa rushwa kwa wanachama wa CCM ili kuwashawishi kuwaunga mkono.
Alisema kamati hizo za siri pia zitakuwa na jukumu la kufuatilia kama watangaza nia hao wamekuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Dec
CCM yabanwa, yashinda Nyamagana
JUMLA ya wagombea 96 wa CCM katika nafasi ya Uenyekiti wa Serikali za Mitaa kwenye kata zilizopo katika wilaya ya Nyamagana, wameshinda nafasi hiyo huku Chadema ikishinda katika mitaa 70.
9 years ago
Daily News29 Aug
CCM candidate for Nyamagana constituency sets election agenda
Daily News
NYAMAGANA CCM legislative candidate and the former Mwanza City Mayor, Mr Stanslaus Mabula, has urged Igogo ward residents to elect him for speedy development. He was addressing hundreds of 'wananchi' at Igogo grounds during his second ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_hlu42lEO8A/VY7lI-0TNwI/AAAAAAAC7sQ/T0qoKLbJXqM/s72-c/4.jpg)
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA LEO JIMBO LA NYAMAGANA,KESHO KUUNGURUMA LIVE JIMBO LA ILEMELA JIJINI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-_hlu42lEO8A/VY7lI-0TNwI/AAAAAAAC7sQ/T0qoKLbJXqM/s640/4.jpg)
11 years ago
GPLMADEREVA WA BAJAJ, BODABODA WAGONGANA BAMAGA NA KUFANYIANA FUJO
11 years ago
Mwananchi08 Mar
CCM waanza kuviziana bungeni
10 years ago
Habarileo06 Aug
CCM waanza kupokea barua za pingamizi
WAGOMBEA waliolalamikia matokeao ya kura za maoni CCM, wameanza kuwasilisha barua za pingamizi katika ofisi za chama. Hatua hiyo inakuja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura za maoni, zilizofanyika kuwatafuta wagombea watakaokiwakilisha chama katika uchaguzi mkuu kwa ngazi ya udiwani na ubunge.
9 years ago
Habarileo08 Sep
CCM Iringa waanza kumnadi Mwakalebela
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimezindua kampeni za ubunge Jimbo la Iringa Mjini kwa kumnadi mgombea wake, Frederick Mwakalebela katika mkutano mkubwa uliofurika wananchi kwenye Uwanja wa Mwembetogwa mjini hapa.
10 years ago
Mtanzania19 Aug
CCM waanza kupitia mafaili ya wagombea urais
![Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Philip-Mangula.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
KAMATI Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, imeanza vikao vyake mjini Dodoma kupitia taarifa za utekelezaji wa adhabu kwa makada sita wa chama hicho wanaodaiwa kuanza kampeni kuwania urais mwaka 2015 kabla ya wakati.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya CCM kiliiambia MTANZANIA kuwa kikao hicho kilianza jana...