CCM waanza kuviziana bungeni
>Mpasuko miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), umechukua sura mpya, baada ya kuelezwa kuwa wabunge 90 wameorodheshwa kwa lengo la kuhojiwa kwa tuhuma za kukisaliti chama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania23 May
CCM Nyamagana waanza kufanyiana ushushushu
Na John Maduhu, Mwanza
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyamagana, kimeunda kamati za siri ili kufuatilia mienendo ya wagombea waliotangaza nia ya kuwania Jimbo la Nyamagana.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi jana, Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Elias Mpanda, alisema lengo la kuunda kamati za siri ni kudhibiti wagombea wanaotoa rushwa kwa wanachama wa CCM ili kuwashawishi kuwaunga mkono.
Alisema kamati hizo za siri pia zitakuwa na jukumu la kufuatilia kama watangaza nia hao wamekuwa...
10 years ago
Habarileo06 Aug
CCM waanza kupokea barua za pingamizi
WAGOMBEA waliolalamikia matokeao ya kura za maoni CCM, wameanza kuwasilisha barua za pingamizi katika ofisi za chama. Hatua hiyo inakuja baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura za maoni, zilizofanyika kuwatafuta wagombea watakaokiwakilisha chama katika uchaguzi mkuu kwa ngazi ya udiwani na ubunge.
9 years ago
Habarileo08 Sep
CCM Iringa waanza kumnadi Mwakalebela
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimezindua kampeni za ubunge Jimbo la Iringa Mjini kwa kumnadi mgombea wake, Frederick Mwakalebela katika mkutano mkubwa uliofurika wananchi kwenye Uwanja wa Mwembetogwa mjini hapa.
10 years ago
Mtanzania19 Aug
CCM waanza kupitia mafaili ya wagombea urais
![Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Philip-Mangula.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
KAMATI Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, imeanza vikao vyake mjini Dodoma kupitia taarifa za utekelezaji wa adhabu kwa makada sita wa chama hicho wanaodaiwa kuanza kampeni kuwania urais mwaka 2015 kabla ya wakati.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya CCM kiliiambia MTANZANIA kuwa kikao hicho kilianza jana...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qzzMmPWg4sA/VaDuB_JSVHI/AAAAAAAHom0/qbFhkzRXBTQ/s72-c/IMGL1336.jpg)
MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM WAANZA MJINI DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-qzzMmPWg4sA/VaDuB_JSVHI/AAAAAAAHom0/qbFhkzRXBTQ/s640/IMGL1336.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mENjbdjWIX8/VaDwxP7DRmI/AAAAAAAHon4/hw0CAZkxVig/s640/MMGL1056.jpg)
PICHA ZAIDI ZITAWAJIA MUDA SI MTEFU, ENDELEA KUFATILIA GLOBU YA JAMII KWA UPDATES KUTOKA DODOMA.
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Makada CCM waanza kukitolea macho ‘kiti’ cha Ndesamburo
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bR3xFLrqGfI/VaaIj6aGgWI/AAAAAAAHp9k/N75MEz61WcY/s72-c/487.jpg)
CCM ZANZIBAR WAANZA MCHAKATO WA KUTOA FOMU KWA WAGOMBEA WA UBUNGE
![](http://3.bp.blogspot.com/-bR3xFLrqGfI/VaaIj6aGgWI/AAAAAAAHp9k/N75MEz61WcY/s640/487.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ys8zVR5v_Ik/VaaIjVU_5sI/AAAAAAAHp9Y/b6rw4O_LKWI/s640/490.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-INUNEyYkIWI/VaaIjxevP3I/AAAAAAAHp9c/aEZDTcQuDzs/s640/491.jpg)
11 years ago
Mwananchi29 Jun
CCM ilivyowaunganisha wapinzani bungeni