Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yaipongeza Frelimo kutoa Rais

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa pongezi kwa chama cha FRELIMO cha Msumbiji kwa kushinda katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo na kumpata Rais Mteule Filipe Nyusi. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema hayo jana na kueleza kuwa chama hicho na CCM ni vyama ndugu vyenye historia ya pamoja ya ukombozi kusini mwa Afrika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI KWA TIKETI YA FRELIMO AKUTANA NA RAIS KIKWETE

 Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Ukombozi cha FRELIMO Filipe Nyusi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Ndogo mjini Tanga, mgombea huyo alipokwenda kumsalimia na kuwa na mazungumzo na Rais leo.Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma, wakiwa katika picha ya kumbukumbu na mgombea huyo kwa tiketi ya FRELIMO Filipe Nyusi, Ikulu Ndogo mjini Tanga. Kushoto ni Mwenyeji wa Mgomba huyo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Picha na Adam Mzee wa CCM Blog.

 

10 years ago

Raia Mwema

Je CCM ya Kikwete inaweza kutoa rais bora?

SIKU moja Socrates aliwasha mishumaa mia moja mchana na akachukua meza na kwenda kukaa kwenye nji

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: CCM hakiwezi kutoa rais mwadilifu

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema CCM hakina kiongozi mwadilifu atakayeweza kupeperusha bendera ya nchi, kutokana na viongozi wake kugubikwa na ufisadi.

 

10 years ago

Vijimambo

CCM YAPOKEA KWA FURAHA FRELIMO KUIBUKA ,MSHINDI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MSUMBUJI

NA BASHIR NKOROMO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa furaha Chama cha Frelimo kuibuka na ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 15, mwaka huu.

Katika uchaguzi huo, aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya Frelimo, Filipe Nyusi ameibuka kidedea na sasa ndiye Rais Mteule wa Msumbiji ambaye baada ya kuapishwa atashika mikoba itaakayoachwa na Rais anayemaliza muda wake, Armando Gwebuza.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...

 

10 years ago

Vijimambo

FRELIMO WATUA NCHI TANZANIA NA KUKUTANA NA UONGOZI WA CCM TAIFA,MWIGULU NCHEMBA AZUNGUMZA NAO

Kushoto ni Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania,Katikati Mh:Mwigulu Nchemba Naibu katibu Mkuu CCM Bara na Kulia ni Bi,Nyeleti Mondlane ambaye ni Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha FRELIMO Nchini Msumbiji.Ujumbe huu kutoka Msumbiji ulitembea Ofisi za CCM lumbumba jana Tar.18/09/2014 CCM na FRELIMO ni Vyama rafiki na vyote vimeshiriki katika harakati za Ukombozi.Hivi sasa Nchini Msumbiji wapo kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa RAIS,ambapo FRELIMO imemsimamisha Filipe Nyussi kuwa Mgombe ...

 

9 years ago

Michuzi

CCM YAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA KASI ILIYOANZA NAYO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM),Ndugu  Abdulrahman O.Kinana(Pichani) akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais,Dkt.John Pombe Magufuli,Makamu wa Rais,Mhe.Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu,Mhe.Kassim Majaliwa kwa kasi nzuri waliyoanza nayo katika utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akifafanua zaidi jambo mbele ya waandishi wa habari leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani