Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yajichimbia kusuka ripoti ya kina Lowassa

kikweteNa Esther Mbussi, Dar es Salaam
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), itategua kitendawili dhidi ya makada sita waliopewa adhabu ya mwaka mmoja kwa madai ya kuanza kampeni za kuwania urais ndani ya chama hicho kabla ya wakati.
Kutokana na hatua hiyo katika kikao hicho kitakachofanyika Februari 28, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM, Philip Mangula, atawasilisha ripoti yake ya tathmini dhidi ya makada hao kama walitekeleza adhabu waliyopewa na chama ama la.
Makada hao walitakiwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAENDELEA NA UANDISHI WA RIPOTI ZA KINA ZINAZOTOKANA NA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akifungua kikao cha kupitia taarifa ya Uandishi wa Ripoti za Kina (Thematic reports) zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 kutoka kwa watalaam mbalimbali wa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali kilichofanyika leo katika Hotel ya Peacock Jijini Dar es Salaam. Mshauri mtaalam wa Sensa ya Watu na Makazi Bw. Collins Opiyo kutoka Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani akitoa ushauri wakati wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Hukumu ya kina Lowassa, Wasira, Membe Jumamosi.

Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC-CCM) Taifa, itafanya kikao cha kawaida cha siku moja Jumamosi ijayo, huku hatima ya makada sita wa chama hicho, akiwamo Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, kama walitimiza au la masharti ya adhabu ya kifungo cha miezi 12 waliyopewa na Chama, ikitarajiwa kujulikana baada ya kikao hicho cha CC.

Pia inatarajia kutoa hatima ya Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kamari waliyoicheza kina Mbowe na Lowassa isipolipa watalipa?

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeweka hatima yake, hadhi yake, na sifa zake zote m

Lula wa Ndali Mwananzela

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wenje: CCM imewatupa vijana, kina mama

MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amesema Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeshindwa kuwathamini vijana na wanawake kitendo kinachosababisha uhalifu. Kauli hiyo, ameitoa juzi wakati wa harambee ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM kina haki gani kudai chama makini?

UKIENDA sehemu inayouzwa pombe hukosi kusikia majisifu (maneno anayosema mtu kujitukuza kwa nia ya kujionesha kuwa bora) ya walevi. Wengine hugawa vinywaji, kuku na nyama za kuokwa lakini maisha ya...

 

10 years ago

Mwananchi

URAIS CCM: Migiro athibitisha; kimya kingi kina mshindo mkuu

Ingawa hakuwa akitajwa mara kwa mara kwamba ni mmoja wa wagombea tishio, kupitishwa kwa jina la Dk Asha-Rose Migiro kuingia katika tano bora ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, siyo jambo la ajabu.

 

10 years ago

Vijimambo

M/KITI WA TAWI LA CCM CALIFORNIA ATEMBELEA WODI YA KINA-MAMA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

M/kiti tawi la California B. Josephine M. akikabidhi mojawapo ya zawadi na vifaa mbali mbali kwa wamama takribani sitini katika hospitali hiyo iliyopo katika wilaya ya Kinondoni. Bi Josephine alifarijika kwa shukurani tele kutoka kwa akina mama hao waliomshukuru na kufarijika kwa kutembelewa na kiongozi huyo. Ziara ya Bi Josephine ilifanyika mwishoni mwa-mwezi wa pili mwaka huu. 

Ni raha kubwa ilioje mmoja wakina mama akipatiwa blanketi la mtoto kutoka kwa B. Josephine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani