CCM yanena kuhusu Dk. Salim
![](http://1.bp.blogspot.com/-70f3NFh25tc/U_2m3xkk3-I/AAAAAAAABkY/CKxVV33ab3E/s72-c/55.jpg)
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema taarifa zilizoripotiwa na gazeti la Dira ya Mtanzania kuhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Dk. Salim Ahmed Salim, hazina ukweli.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijinui Dar es Salaam jana, ilisema habari hiyo iliyochapishwa kwenye toleo la Jumatatu yenye kichwa cha ‘CCM yamsulubu Dk. Salim mbele ya JK’, kuwa ni uzushi na imelenga kujenga chuki na uhasama.Katika habari hiyo, gazeti hilo lilidai kuwa Dk. Salim amegeuzwa mbuzi wa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 May
Dk Salim, Warioba waonya kuhusu amani
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Salim ailiza CCM
MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salim Ahmed Salim, ameonja joto ya jiwe ndani ya kikao cha Kamati Kuu (CC), ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakitaka atoe ufafanuzi wa...
11 years ago
MichuziDkt. Salim Ahmed Salim akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NSqX0Cic1jA/U89v1Uah6YI/AAAAAAAF5DQ/0ycfi9pWbq0/s72-c/unnamed+(10).jpg)
balozi mpya wa ujerumani nchini amtembelea Dkt Salim Ahmed Salim leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-NSqX0Cic1jA/U89v1Uah6YI/AAAAAAAF5DQ/0ycfi9pWbq0/s1600/unnamed+(10).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-D8HtEWABE5w/U89vD8hPMgI/AAAAAAAF5DE/h8af4afFBQY/s1600/unnamed+(9).jpg)
10 years ago
TheCitizen02 Aug
SALIM SAID SALIM : Journalism facing challenges in election
9 years ago
TheCitizen23 Aug
SALIM SAID SALIM : Poll campaigns should address rights
11 years ago
IPPmedia18 Jan
CCM must own up its wrongs if Salim was put to 'kiti moto'
IPPmedia
IPPmedia
We read in one of the newspapers on Thursday that the Central Committee of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), at its meeting held in Zanzibar end of last week questioned former prime minister Salim Ahmed Salim over his failure to defend the party's ...
10 years ago
TheCitizen20 Dec
SALIM: CCM factions versus Isles’ future
10 years ago
TheCitizen29 Mar
SALIM SAID SALIM:Let our leaders be honest with us