Dk Salim, Warioba waonya kuhusu amani
>Mawaziri wakuu wa zamani, Dk Salim Ahmed Salim na Jaji Joseph Warioba wameonya kuwa hali ya mgawanyiko, ubaguzi wa kidini, ukabila na ujimbo miongoni mwa wananchi inatishia umoja na utulivu wa nchi iwapo hatua hazitachukuliwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Dk Salim afichua siri ya JK na Tume ya Warioba
11 years ago
Uhuru Newspaper
CCM yanena kuhusu Dk. Salim
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema taarifa zilizoripotiwa na gazeti la Dira ya Mtanzania kuhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Dk. Salim Ahmed Salim, hazina ukweli.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijinui Dar es Salaam jana, ilisema habari hiyo iliyochapishwa kwenye toleo la Jumatatu yenye kichwa cha ‘CCM yamsulubu Dk. Salim mbele ya JK’, kuwa ni uzushi na imelenga kujenga chuki na uhasama.

11 years ago
MichuziDkt. Salim Ahmed Salim akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri
11 years ago
Michuzi.jpg)
balozi mpya wa ujerumani nchini amtembelea Dkt Salim Ahmed Salim leo
.jpg)
.jpg)
10 years ago
TheCitizen23 Aug
SALIM SAID SALIM : Poll campaigns should address rights
10 years ago
TheCitizen02 Aug
SALIM SAID SALIM : Journalism facing challenges in election
10 years ago
TheCitizen29 Mar
SALIM SAID SALIM:Let our leaders be honest with us
10 years ago
Mzalendo Zanzibar24 Oct
TAARIFA YA MWENYEKITI WA ZEC MHE. JECHA SALIM JECHA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015
http://zec.go.tz/en/?p=1673
The post TAARIFA YA MWENYEKITI WA ZEC MHE. JECHA SALIM JECHA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2015 appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Warioba afichua siri ya JWTZ kuhusu Muungano
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ametoa siri ya msimamo wa majeshi ya Tanzania kuhusu muundo wa Muungano wa sasa. Jaji Warioba ametoa siri hiyo...