CCM yapata hati ya mashaka
SIKU chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kukiri kupokea hati ya mashaka kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kumtaka aweke hadharani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Mar
RIPOTI YA UKAGUZI: CCM, Chadema zapata hati zenye mashaka
10 years ago
Habarileo12 Dec
CCM yapata ushindi wa kimbunga Simanjiro
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kimepata viongozi 223 kati ya 281 wa vitongoji na wengine 48 kati ya 55 wa vijiji waliopita bila kupingwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, unaotarajia kufanyika Jumapili.
10 years ago
Mwananchi01 Mar
CCM yapata pigo, nani ataimba kama Komba?
5 years ago
CCM BlogCHADEMA YAPATA MAAFA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Bushiru Ali akimpa mkono Mbunge wa viti Maalum wa wilaya ya kilombero Dkt.Getrude Lwakatare wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya Chama hicho mkoani Morogoro wengine ni viongozi wa Mkoa wa Chama hicho.
Morogoro TanzaniaVIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Mashaka — 5
KITABU kinachohakikiwa kinaitwa Mashtaka, kilichotungwa na Elieshi Lema. Katika sehemu hii ya mwisho ya uhakiki, tunaangalia tathmini ya kitabu na hitimisho. Endelea… Tathmini ya kitabu Nimpongeze mwandishi kwa hadithi ya...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Mashaka -3
WIKI iliyopita katika uhakiki wa wa kitabu hiki cha Mashtaka kilichotungwa na Elieshi Lema, tuliangalia muhtasari wa kitabu. Sasa endelea… Sura ya pili ambayo ni Kisa, tunaendelea kufunuliwa juu ya...
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Mashaka — 4
KITABU kinachohakikiwa kinaitwa Mashtaka, kilichotungwa na Elieshi Lema. Wiki iliyopita tuliangalia muhtasari wa kitabu na leo tunaendelea na kipengele hicho. Watoto kupigwa hadi kufa kwa kuiba shilingi mia moja ya...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Ndoa zenye mashaka (3)
TAMAA, yaani hamu kubwa ya kupata kitu, shauku na upo msemo usemao ‘…tamaa mbele mauti nyuma’. Tamaa niizungumziayo ni ile ya kupita kiasi ama kwa nia fulani isiyotokana na mapenzi...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Ndoa zenye mashaka
NDOA ni ukamilifu wa makubaliano ya muungano wa mwanamke na mwanamme kuishi pamoja kama mume na mke kulingana na sheria, mila au desturi za sehemu fulani. Upo msemo pia usemao...