Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yatikisa kwa Mbowe, Lipumba

Viongozi wa UkawaMATOKEO ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwishoni mwa wiki kote nchini, yameendelea kuanikwa na kuonesha CCM imeendelea kung’ara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

CCM YATIKISA JIJI LA MWANZA,YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni. 
 Umati wa maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kushudua...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM YATIKISA MUSOMA MJINI,MAGUFULI AENDELEA KUJIHAKIKISHIA USHINDI WA KISHINDO KWA ZAIDI YA MIKOA 8

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Mh.Jonh Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Musoma Mjini jioni ya leo wakati wa Mkutano wa Kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Magufuli amesisitiza/ameomba wananchi wa Musoma kuchagua wagombea wa Chama cha Mapinduzi kwasababu ndicho chama chenye Ilani Bora na yeye amejipanga kuhakikisha anatatua kero zinazowakabili Wananchi wote wa Tanzania bila kubagua.Sehemu ya Maelfu ya wananchi wakifuatilia Mkutano wa kampeni wa Chama cha...

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba, Mbowe kumjibu Kikwete

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamesema watajibu hotuba ya Rais Kikwete kwenye Bunge Maalum la Katiba na nje ya Bunge kwa kutumia taarifa mbalimbali za tume ya marekebisho ya katiba ambazo zimefanyiwa utafiti wa kina. Katika mazungumzo yao na waandishi wa habari jana, viongozi wa umoja huo ambao ni kutoka vyama vya upinzani pia walishukuru wabunge wao kwa kutotoka nje ya Bunge wakati Rais Kikwete anahutubia licha ya kuwa hotuba hiyo haikuwafurahisha kabisa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa CCM tatizo si CHADEMA ni Mbowe

NDUGU wasomaji, ninapenda sana kuwapa pole kwa kifo cha shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi Nelson Ndlahla Mandela. Kila gazeti, runinga na redio zimeelezea wasifu wake kiasi cha...

 

11 years ago

Michuzi

Lipumba, Mbatia, Mbowe na Vuai wakichangia mjadala Bungeni jioni hii

Busara za viongozi wa kisiasa katika  semina ya kujadili kanuni zimeokoa jahazi na kikao kuendelea salama leo jioni.   Mwenyekiti wa chama cha CUF na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Prof. Ibrahimu Lipumba akichangia.  Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe.James Mbatia akichangia .  Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Freeman Mbowe akichangia. Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Tanzania Visiwani  na...

 

11 years ago

TheCitizen

Katiba Assembly 'to go on without Ukawa,' says Sitta team after Mbowe, Lipumba skip 'peace talks'

>The Constituent Assembly (CA) will reopen as scheduled and resume business even if the Coalition of Defenders of People’s Constitution (Ukawa) members will insist on not returning to the august House, it was decided during a reconciliation meeting yesterday.

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ATUA KWA MBOWE NA MBATIA,SAME NA MWANGA...CCM YAENDELEA KUSAKA KURA KATA KWA KATA

Wananchi wa Hai Mjini wakimpokea Mwigulu Nchemba kwa shangwe.Mwigulu Nchemba ameshawasili Hai Mjini kuzungumza na Wananchi na Kumuombea Kura Rais Mtarajiwa kutoka Chama cha Mapinduzi Ndg,J.Pombe Magufuli.Mwigulu Nchemba akitoa Darasa kwa Wananchi wa Hai Mjini kuhusu Umuhimu wa Kuchagua kiongozi kwa Malengo,sio kuchagua Uongozi kwa Kishabiki."Wanahai naomba Mmchague Magufuli kwasababu ndiye kiongozi anayeweza kushughulika na Matatizo ya Wananchi wetu hasa swala la Rushwa,Uzembe maofisini na...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa.
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.

Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani