Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cecafa Senior Challenge tayari kwa kutimua vumbi, Zanzibar Heroes kujiuliza kwa Burundi leo

2-5

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mashindano ya Cecafa Senior Challenge yanayoandaliwa na Chama cha Soka kwa Ukanda wa Afrika Mashariki yanatarajiwa kuanza leo nchini Ethiopia.

Ratiba ya michezo ya leo;

GROUP: B

Burundi – Zanzibar       14:00 EAT

GROUP: A

Ethiopia – Rwanda       16:00 EAT

 CECAFA      

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Cecafa yatangaza ratiba ya Cecafa Senior Challenge Cup, Tanzania uso kwa uso na Somalia!

cecafa__logo

Na Rabi Hume

Shirikisho la soka Afrika Mashariki (CECAFA), limetoa ratiba ya mashindano ya Cecafa Senior Challenge Cup yanayotarajiwa kuanza kutimua Novemba 21 nchini Ethiopia.

Mashindano ya mwaka huu yamejumuisha nchi 11 wakiwa wenyeji na moja ikiwa kama mgeni mwalikwa ambayo ni nchi ya Malawi ambayo imeingia katika kundi C ikiwa na nchi zingine za Sudan na Sudan Kusini.

Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza kuchezwa tarehe 21 mwezi huu ambapo mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya;

 

9 years ago

Dewji Blog

Kili Stars yaanza vizuri Cecafa Senior Challenge, yaikamua Somalia, bingwa mtetezi Kenya nae aipa kipigo Uganda!

kilistars

Kikosi cha Kilimanjaro Stars..

Na Rabi Hume, Modewji blog

Timu inayowakilisha Tanzania bara katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge, Kilimanjaro Stars jana imeanza vyema mashindano hayo kwa kuifunga timu ya taifa ya Somalia kipigo cha goli 4 kwa bila.

Katika mchezo huo ambao Kili Stars ilionekana kutawala kwa kipindi kirefu ilifanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 11 kupitia kwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco kwa njia ya mkwaju wa penati.

Goli la pili lilifungwa na Elias...

 

10 years ago

BBCSwahili

EPL kuendea kutimua vumbi leo

Ligi ya England itaendelea tena leo kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto katika michezo ya mzunguko wa raundi ya 26.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ligi ya mabingwa Ulaya kutimua vumbi leo

Ligi ya mabingwa wa Ulaya kwa msimu wa 2015-2016 kuanza leo

 

10 years ago

BBCSwahili

Kagame Cup kuendelea kutimua vumbi leo

Michuano ya kombe la Cecafa Kagame inaendelea kutimua vumbi nchini Tanzania

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi ya soka Somalia kutimua vumbi leo

Kuongezeka kwa hali ya utulivu mjini Mogadishu kumevutia kiasi cha wachezaji ishirini wa soka nchi nyingine za Kiafrika.

 

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO V YAZINDULIWA LEO ZANZIBAR TAYARI KWA SAFRI ZA DAR ES SALAAM NA UNGUJA

 BOTI ya Kilimanjaro V ikishushwa katika Meli ya Thorco Clairvaux ikitokea Nchini Australia , boti hiyo ilishushwa nje kidogo ya Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar na tayari imeshazinduliwa rasmi kuanza safari zake. Picha na Haroub Hussein.

 BOTI ya Kilimanjaro V ikitua katika maji ya bahari ya Hindi leoBOTI ya Kilimanjaro V ikielekea gatini Malindi, Zanzibar, tayari kwa uzinduzi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Zanzibar watanganza kikosi kitakachoshiriki CECAFA Challenge Cup

2-5

Kikosi cha Zanzibar Heroes.

Na Rabi Hume

Kikosi hicho cha wachezaji 29 watakaofanyiwa mchujo kupata wachezaji 20 watakaokwenda katika mashindano ya CECAFA Challenge Cup yametajwa na kocha msaidizi wa timu ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Malale Kaye.

Kaye amewataja wachezaji hao kuwa ni;

Makipa: Mwadini Ali (Azam), Moh’d Abrahman (JKU), Mwalim Ali (Prisons) na Idrissa Ali (Hardrock).

Mabeki ni Mwinyi Hajji Mngwali (Yanga), Nassor Masoud ‘Chollo’ (Stand United), Samih Haji Nuhu (Simba), Adeyum...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani