Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cecilia; nilikosea kutaka kujiua baada ya kupofuka

Ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa saba katika eneo la Visole Manispaa ya Morogoro, Cecilia Ricardo anasema kuwa wakati huo akiishi kwa dada yake, Theresia Patrick Ricardo alimtuma mtoto wa dada yake, Evodia kwenda dukani kununua sumu ya kuua panya ili anywe kwa lengo la kujiua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mwanafunzi atumia bastola ya mama kutaka kujiua

DSC031641

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

MWANAFUNZI wa darasa la sita katika shule ya msingi Abelt, Singida mjini Stanley Markdonard (13), amenusurika kufa katika jaribio lake la kutaka kujiuawa kwa kujipiga risasi mbili tumboni kwa kutumia bunduki aina ya bastola, mali ya mama yake mkubwa, Joyce Mark Minde.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka,...

 

10 years ago

GPL

PART III YA ADEBAYOR: KAKA ZANGU WALINIWEKEA KISU SHINGONI KISA FEDHA NA NIMEJARIBU MARA KADHAA KUTAKA KUJIUA

Emmanuel Adebayor katika pozi na kaka yake. Picha hii ameiweka leo Facebook. STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Emmanuel Adebayor leo ametoa sehemu ya tatu ya historia yake ambapo ameeleza mambo mengi mazito aliyoyapitia maishani mwake. Emmanuel Adebayor akiwaTottenham Hotspur. Staa huyo mwenye miaka 31 raia wa Togo ameweka wazi kuwa mara kaka zake wawili Kola na Peter waliwahi kumwekea kisu shingoni wakitaka awapatie fedha.
...

 

10 years ago

Bongo5

Ex wa Nicki Minaj afikiria kujiua baada ya kupigwa kibuti!

Aliyekuwa boyfriend wa Nicki Minaj ameumizwa na kitendo cha kupigwa kibuti kiasi kwamba anafikiria kujiua. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Safaree Samuels amewaambia washkaji zake kuwa ameumizwa na kuvunjika kwa uhusiano wake wa miaka 12 na Nicki. Kutokana na hali hiyo amekuwa akijifungia ndani usiku na mchana akivuta bangi na amezungumza wazi kuhusu kutaka […]

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUCHUKUA FOMU, DK SHEIN AELEZEA SABABU ZA KUTAKA KUREJEA MADARAKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja jana baada ya  kuchukua fomu za kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Afya ya Mugabe yazidi kuwa utata baada ya kutaka kuanguka hadharani India

mugabe-robert9Maafisa wa nchini Zimbabwe wamekanusha tetesi za kuwa afya ya Rais Robert Mugabe imezidi kuwa mgogoro baada ya Jumamosi kukaribia kuanguka hadharani. Mugabe alionekana akipepesuka wakati alipokuwa akipanda jukwaani katika mkutano wa India na Afrika wiki hii. Video zilizosambaa mtandaoni zinamuonesha waziri mkuu wa India Narendra Modi akimsaidia kumshika mkono Mugabe mwenye miaka 91. Msemaji […]

 

5 years ago

Michuzi

WATOTO WAMJIA JUU BABA YAO MZAZI BAADA YA KUTAKA KUUZA ARDHI YAKE ILIYOKO ENEO LA KIJENGE JIJINI ARUSHA


Na Woinde Shizza ,ARUSHA
MGOGORO wa kugombea mali ikiwemo ardhi na majengo umeibuka katika familia ya Mzee  Saimon  Kamakia mara baada ya watoto wa mzee huyo kumtuhumu baba yao kutaka kuwapora ardhi ambayo waliachiwa urithi baada ya marehemu mama yao,  kufariki dunia.
Kuibuka kwa mgogoro huo umeonekana umevuta hisia za wakazi wa eneo la Kijenge na ndani ya Jiji la Arusha na umesababisha kuvuruga amani ndani ya familia hiyo.
Baadhi ya watoto wa Mzee Kamakia akiwemo Nusin Kamakia walidai hatua ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Anachotaka kufanya Jessica kabla ya kupofuka

Mtoto mwenye umri wa miaka 6, ameorodhesha vitu ambavyo angependa kuona kabla ya kupoteza uwezo wake wa kuona kutokana na ugonjwa usio na tiba.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …

Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]

The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani