Mwanafunzi atumia bastola ya mama kutaka kujiua
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
MWANAFUNZI wa darasa la sita katika shule ya msingi Abelt, Singida mjini Stanley Markdonard (13), amenusurika kufa katika jaribio lake la kutaka kujiuawa kwa kujipiga risasi mbili tumboni kwa kutumia bunduki aina ya bastola, mali ya mama yake mkubwa, Joyce Mark Minde.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jul
Atumia kamba za viatu kujiua
NA JESSICA KILEO
WATU wawili wamefariki dunia mjini Dar es Salaam katika matukio mawili tofauti, likiwemo la Godfrey Mtenga kukutwa akiwa amejinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 4.00 asubuhi katika eneo la Kibangu Makoka, ambapo Mtenga alikutwa akiwa ananing’inia baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba za viatu alizozitundika juu ya tawi la mti.
Wambura alisema, walikuta mwili wa mtu huyo ukiwa unaning’inia huku chini...
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Cecilia; nilikosea kutaka kujiua baada ya kupofuka
11 years ago
Habarileo20 Mar
Mwanafunzi UDOM ajaribu kujiua
MWANAFUNZI Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM), Kitivo cha Sayansi ya Jamii, Kamugisha Isack anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kutaka kujiua.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vlz-VcMBEumUMHVM8iFKXou93GQwqIeb4rqm7FwKyiWF5nsSPM4XFo0nndnXfV4tvZK40yhAOqOfMR8CCEJDnbybOD058MPC/sea.jpg?width=650)
PART III YA ADEBAYOR: KAKA ZANGU WALINIWEKEA KISU SHINGONI KISA FEDHA NA NIMEJARIBU MARA KADHAA KUTAKA KUJIUA
10 years ago
Mwananchi05 Apr
Bastola kanisani: Mtu mmoja anaswa akiwa na bastola yenye risasi nane
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.
KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.
Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-C8PxcyWrriI/VRlpwGWtNbI/AAAAAAAARyE/G5bgK0fFxOI/s72-c/IMG_8564.jpg)
Bastola ya Gwajima utata.
![](http://2.bp.blogspot.com/-C8PxcyWrriI/VRlpwGWtNbI/AAAAAAAARyE/G5bgK0fFxOI/s640/IMG_8564.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimjulia hali Askofu Josephat Gwajima, wa Kanisa la Ufufuo na Uzima aliyelazwa kwenye hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam kwa matibabu. PICHA: Tryphone Mweji
![](http://1.bp.blogspot.com/-TFHoCQ-8kiE/VRlpxumDEKI/AAAAAAAARyM/gv8Sxu9NX0c/s1600/Gwajima_Lipumba.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uVSra6c8ZxWpMBGkV6cK8bQN7rKVLUbGKValAvOqN5n3VR8A-4JA6Mxek0*mliNHLTMKZuxWTJc3AhoKxr3bIkiuk5-8tDKb/BACKUWAZI5.jpg)
BASTOLA TISHIO DAR!