Chadema: Hatutambui zuio la IGP
NA AGATHA CHARLES, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya kuahirishwa ziara ya aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, chama hicho kimesema hakilitambui zuio la kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa lililowahi kutolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu mwezi uliopita.
Kauli ya Chadema ilitolewa jana na Ofisa Habari wa chama hicho, Tumaini Makene, baada ya kuulizwa na MTANZANIA juu ya kuwapo taarifa kuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Nov
Chadema yafungua kesi ya madai  kuhusu Zuio La Kuaga Mwili Wa Mawazo
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimefungua kesi ya madai katika mahakama kuu kanda ya Mwanza kutengua zuio la jeshi la polisi mkoani humo kuzuia wafuasi wa chama hicho wasiuage mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita.
Kesi hiyo namba 10 ya mwaka 2015 imefunguliwa kwa hati ya dharura sana kwa niaba ya mlalamikaji mchungaji Charles Lugiko ambaye ni baba mlezi wa marehemu.
Katika mahakama kuu kanda ya Mwanza wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema...
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Chadema ngangari, IGP Mangu aonya
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Willibrod-Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuwa ngangari kwa kusisitiza kuwa maandamano yake yako palepale.
Chadema kimesema kuwa watajilinda wenyewe katika mikutano yao kwa sababu wana vijana waliopata mafunzo ya ulinzi na usalama.
Chama hicho jana kilitangaza kuanza kutekeleza maazimio ya mkutano wake mkuu kwa ajili ya kufanya maandamano na migomo isiyo na ukomo nchi nzima.
Wakati Chadema wakisisitiza...
10 years ago
IPPmedia18 Oct
Solve child killers mystery, Chadema wing tells IGP
IPPmedia
IPPmedia
CHADEMA Women wing Chairperson Halima Mdee speaks to the media at the party headquarters in Dar es Salaam yesterday during which she condemned the kidnapping of children in the city. Chadema Women Council (Bawacha) has come up to demand ...
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Renamo-hatutambui matokeo
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
UEFA:Hatutambui mechi za Crimea
9 years ago
Mwananchi25 Sep
NEC: Hatutambui ‘bao la mkono la CCM’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe7yii86d51CX-kURTUe2ZfOC7954r*902dXdXZ1CWb3ao-Fg8*GuenFZ25wosdJkO*JRWlGule7u*pfL1zH40dP/141015101342_mocambique_oposicao_624x351_reuters.jpg?width=650)
UCHAGUZI MSUMBIJI: RENAMO HATUTAMBUI MATOKEO
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Wakulima waondolewa kodi ya zuio
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeondoa kodi ya zuio kwa wakulima ambao hawana namba la mlipakodi wakati wa kuuza mazao yao. Kauli hiyo imetokana na serikali kutambua kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
‘Uchawi’ wa biashara zuio la EFD
MIFUMO ya ukusanyaji wa mapato haitokani na njama za chuki au fitina zinazofanywa na mamlaka za kiserikali zote duniani ili kuwaumiza wananchi wake. Ndiyo maana hata kiongozi wa taifa maskini...