Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC: Hatutambui ‘bao la mkono la CCM’

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema haitambui bao la mkono, bali inaamini wingi wa kura za wananchi kumpata mshindi halali kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

HISTORIA: Ikumbuke stori ya bao la ‘mkono wa Mungu’

Akiwa na umri wa miaka 42, Ali Bin Nasser ambaye jina lake hujulikana pia  kwa wapenzi na mashabiki wa soka kama  Ali Bennaceur aliongoza mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia nchini Mexico, ambayo imebaki kuwa kumbukumbu hadi leo.

 

10 years ago

Vijimambo

‘BAO LA MKONO’ LA NAPE LATUA TUME YA UCHAGUZI

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Dar es Salaam.

Kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye bado inawaumiza vichwa wapinzani nchini baada ya viongozi hao jana kuitamkia wazi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kuwa hakuna haja ya kujadili maadili wakati CCM tayari kimesema ‘kitafunga bao la mkono.’

Wakizungumza kwenye mkutano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na viongozi wa vyama vya siasa kuhusu maadili ya Uchaguzi jana, baadhi ya viongozi hao walitaka mkutano...

 

10 years ago

GPL

‘BAO LA MKONO’ LA NAPE LATUA TUME YA UCHAGUZI

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye. Dar es Salaam. Kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye bado inawaumiza vichwa wapinzani nchini baada ya viongozi hao jana kuitamkia wazi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kuwa hakuna haja ya kujadili maadili wakati CCM tayari kimesema ‘kitafunga bao la mkono.’ Wakizungumza kwenye mkutano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na viongozi wa vyama vya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tundu Lissu ahofia ‘bao la mkono’ katika jimbo lake la Singida Mashariki, ataka sheria zifuatwe

DSC01807

Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu akizungumza kwenye moja ya mikutano yake ya kampeni.(Picha na Gasper Andrew).

DSC01778

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKATI siku zikiwa zimesalia siku moja tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu  Antiphas Mughwai Lissu, ameonyesha hofu  kubwa kwamba uchaguzi huo hautakuwa huru na wa  haki, kwa madai kuwa Jeshi la Polisi limeandaliwa kuhakikisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa Bunge hili la Katiba, CCM wameshapiga bao

>Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba umeingia katika sura mpya ambapo uteuzi wa wajumbe 201 wa Bunge la Katiba umekamilika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Renamo-hatutambui matokeo

Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO,kimetoa yake ya moyoni kuwa hawatayakubali matokeo yajayo.

 

9 years ago

Mtanzania

Chadema: Hatutambui zuio la IGP

mangu2NA AGATHA CHARLES, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya kuahirishwa ziara ya aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, chama hicho kimesema hakilitambui zuio la kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa lililowahi kutolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu mwezi uliopita.

Kauli ya Chadema ilitolewa jana na Ofisa Habari wa chama hicho, Tumaini Makene, baada ya kuulizwa na MTANZANIA juu ya kuwapo taarifa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

UEFA:Hatutambui mechi za Crimea

Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limesema halitatambua matokeo yoyote ya mechi itakayochezwa na kilabu ya kandanda ya Crimea

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI MSUMBIJI: RENAMO HATUTAMBUI MATOKEO

Kiongozi wa Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO, Alfonso Dlakama (katikati). Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO kimetoa yake ya moyoni kuwa hawatayakubali matokeo yajayo ya uraisi na ubunge pamoja na serikali za mitaa. Msemaji wa chama hicho Antonio Muchanga amesema kwamba kumekuwa na ukiukwaji wa taratibu katika upigaji kura huo na udanganyifu wa kura. Matokeo ya awali… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani