Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Renamo-hatutambui matokeo

Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO,kimetoa yake ya moyoni kuwa hawatayakubali matokeo yajayo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UCHAGUZI MSUMBIJI: RENAMO HATUTAMBUI MATOKEO

Kiongozi wa Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO, Alfonso Dlakama (katikati). Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO kimetoa yake ya moyoni kuwa hawatayakubali matokeo yajayo ya uraisi na ubunge pamoja na serikali za mitaa. Msemaji wa chama hicho Antonio Muchanga amesema kwamba kumekuwa na ukiukwaji wa taratibu katika upigaji kura huo na udanganyifu wa kura. Matokeo ya awali… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Renamo yakubali matokeo ya uchaguzi

Kiongozi wa Renamo asema watakubali matokeo ya uchaguzi ingawa upigaji kura ulikuwa na kasoro

 

10 years ago

BBCSwahili

Msumbiji:Serikali na Renamo waafikiana

Serikali ya Msumbiji imetiliana saini na chama cha upinzani cha Renamo ili kukomesha vita nchini humo.

 

9 years ago

Mtanzania

Chadema: Hatutambui zuio la IGP

mangu2NA AGATHA CHARLES, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya kuahirishwa ziara ya aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, chama hicho kimesema hakilitambui zuio la kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa lililowahi kutolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu mwezi uliopita.

Kauli ya Chadema ilitolewa jana na Ofisa Habari wa chama hicho, Tumaini Makene, baada ya kuulizwa na MTANZANIA juu ya kuwapo taarifa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

UEFA:Hatutambui mechi za Crimea

Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limesema halitatambua matokeo yoyote ya mechi itakayochezwa na kilabu ya kandanda ya Crimea

 

9 years ago

Mwananchi

NEC: Hatutambui ‘bao la mkono la CCM’

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema haitambui bao la mkono, bali inaamini wingi wa kura za wananchi kumpata mshindi halali kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao.

 

10 years ago

Vijimambo

Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu


lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with EVIDENCE toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi LE AKILI KUBWAZZZZ now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS tayari nimeshaanza kupata...

 

9 years ago

Vijimambo

KIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KWANI BADO HAJASAINI MATOKEO.

Na:George Binagi-GB Pazzo
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Highness Kiwia, anatarajia kufungua kesia ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimboni humo kwa madai kwamba haukuwa wa huru na haki kutokana na kugubikwa na changamoto mbalimbali.
Kiwia ambae ameshindwa kutetea jimbo hilo baada kuchukuliwa na Angelina Mabula kutoka Chama cha Mapinduzi CCM,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani