Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema Karatu yamshukuru Kikwete kwa maendeleo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Karatu kimeeleza kufurahishwa kwake na mchango unaotolewa na Rais Jakaya Kikwete katika kuchochea maendeleo bila upendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK azindua mradi mkubwa wa maji Karatu, CHADEMA yamshukuru kwa maendeleo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa mji wa Karatuwakati Rais alipozindua mradi wa maji katika mji wa Karatu leo asubuhi.Picha na Freddy Maro.

 

11 years ago

Dewji Blog

CHADEMA yamshukuru Rais Kikwete kwa maendeleo

unnamed (46)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa mji wa Karatuwakati Rais alipozindua mradi wa maji katika mji wa Karatu.(Picha na Freddy Maro).

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha.

Aidha, chama hicho kimempongeza Rais Kikwete kwa kusambaza maendeleo kwa Watanzania wote bila kujali...

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA UJENZI YAMSHUKURU NA KUMUAGA RAIS KIKWETE

 Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Mfutakamba wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhandisi Stella Manyanya wakati akiwasili Mnazi Mmoja kwenye hafla maalumiliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi ya kumuaga Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.



 Ilikuwa...

 

9 years ago

TheCitizen

Chadema dominates Karatu poll

Chadema has continued to lead the Karatu District Council after completing 20 years at the helm following yesterday’s victory where they clinched the positions of chairman and deputy chairman.

 

10 years ago

Michuzi

KINANA-WANANCHI WA KARATU WANA HAKI YA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI ZA MAENDELEO KAMA WENGINE.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi Mjini Karatu na kujibu hoja mbalimbali za Wananchi,ambapo aliwaelez wananchi hao kuwa maswali mengi yanahusu kujibiwa na Mbunge wa jimbo hilo ambaye ni wa upinzani, Madiwani na Mwenyekiti wa halmashauri kwa kuwa ndiyo wenye kusimamia miradi na kuwapa taarifa wananchi, Lakini viongozi hao wamekuwa wakifanya mambo wanavyotaka na kuacha wananchi wakipata taabu kwa sababu ni wa chama cha Upinzani (CHADEMA). 
Hata hivyo Kinana...

 

10 years ago

Daily News

Karatu residents heap blame on Chadema led local govt


Karatu residents heap blame on Chadema led local govt
Daily News
RESIDENTS of various parts of Karatu District have accused municipal leaders of misusing public funds set aside for development projects in the area. Speaking at public rallies officiated by Chama Cha Mapinduzi (CCM) Secretary General, Mr Abdulrhaman ...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Ziarani Karatu

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Karatu wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili mjini humo ambapo alifungua jengo la Halmashauri ya wilaya ya Karatu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kkwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Karatu muda mfupi baada ya kuwasili mjini hapo ambapo alifungua jengo la Halmashauri,Kufungua jengo la TRA wilaya na kuzindua mradi wa maji. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na mtoto mwenye ulemavu Meshack Amos kutoka katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mbunge na Diwani Chadema wakwamisha maendeleo jimboni kwa miaka minne

13

Ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi ukiendelea katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu,ambaye anadaiwa kuwakataza  wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo.

12

Mmoja wa Viongozi wa CCM, Wilaya akimpatia tofari Kinana walipokuwa wakisaidia ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi, katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu. Mbunge huyo anadaiwa kuwakataza  wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo....

 

10 years ago

Dewji Blog

Mchungaji Natse awaaga jimbo la Karatu , Qambala kupeperusha bendara ya Chadema

Mbunge mstaafu wa Jimbo la Karatu mkoa wa Arusha,Mchungaji Israel Natse akizungumza katika mkutano mkuu wa Jimbo hilo ambao ulifanya uchaguzi wa madiwani na Wabunge wa  Viti Maalumu mgombe Ubunge wa Jimbo la Karatu,katikati ni Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha,Kalisti Lazaro na Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Karatu,Thomas Darabe. Mbunge wa Viti Maalumu wilaya ya Karatu, Cecilia Paresso akizungumza katika mkutano huo ambao alichaguliwa na wajumbe wanawake kuwania nafasi hiyo. Mbunge wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani