Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yamshukuru Rais Kikwete kwa maendeleo

unnamed (46)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa mji wa Karatuwakati Rais alipozindua mradi wa maji katika mji wa Karatu.(Picha na Freddy Maro).

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha.

Aidha, chama hicho kimempongeza Rais Kikwete kwa kusambaza maendeleo kwa Watanzania wote bila kujali...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chadema Karatu yamshukuru Kikwete kwa maendeleo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Karatu kimeeleza kufurahishwa kwake na mchango unaotolewa na Rais Jakaya Kikwete katika kuchochea maendeleo bila upendeleo.

 

11 years ago

Michuzi

JK azindua mradi mkubwa wa maji Karatu, CHADEMA yamshukuru kwa maendeleo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa mji wa Karatuwakati Rais alipozindua mradi wa maji katika mji wa Karatu leo asubuhi.Picha na Freddy Maro.

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA UJENZI YAMSHUKURU NA KUMUAGA RAIS KIKWETE

 Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Mfutakamba wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhandisi Stella Manyanya wakati akiwasili Mnazi Mmoja kwenye hafla maalumiliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi ya kumuaga Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.



 Ilikuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema watoa siku tatu kwa Rais Kikwete

Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kufuta kauli yake ya kuwataka wana CCM kuacha unyonge na kujibu mapigo dhidi ya upinzani na ametakiwa kuomba radhi ndani ya siku tatu, vinginevyo suala hilo litafikishwa jumuiya za kimataifa.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA W MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiondoka baada ya yeye kuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MWENYE MCHANGO MKUBWA ZAIDI KATIKA MAENDELEO BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2013

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM

Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka anganiRais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbionRais Jakaya Mrisho kikwete akitambulishwa na Mkurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani