CHADEMA Mwanza waandamana
SIKU chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutangaza maandamano na migomo nchi nzima, jana jijini hapa shughuli za biashara zilisitishwa kwa takribani saa sita. Shughuli hizo zilisitishwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Walimu wapya waandamana Mwanza
ZAIDI ya walimu 50 kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana mkoani hapa, jana waliandamana hadi ofisi za mkurugenzi wa halmashauri kushinikiza kulipwa mshahara wa mwezi uliopita....
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Chadema waandamana vichochoroni
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Chadema waandamana, polisi watumia mabomu kuwatawanya
10 years ago
Michuzi03 Mar
CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
![](https://3.bp.blogspot.com/-C0hrD70_tH8/VPROrVS30TI/AAAAAAADQM8/u5GW31g2XY0/s1600/red%2Bbrigade2.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-5MF9SQCARvw/VPROrEsFwPI/AAAAAAADQM4/lo1kQV44FSI/s1600/Lwakatare.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Chadema yamfunika Magufuli Mwanza
JIJI la Mwanza jana saa 6.30 mchana lilisimama kwa muda baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Wilbrod Slaa akiambatana na waliokuwa wabunge machachari wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Bulaya na James Lembeli waliohamia chama hicho.
Msafara huo uliingia katikati ya jiji ukitokea Uwanja wa Ndege kupitia Barabara ya Makongoro hadi katika mzunguko unaokutanisha barabara za Nyerere, Makongoro na Kenyatta, kisha ukaelekea Barabara ya Kenyatta...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
CHADEMA Mwanza yajipanga kuikabili CCM
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Mwanza kimeandaa mbinu mbaya za kukiangamiza Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
10 years ago
VijimamboPICHA ZINGINE MKUTANO WA CHADEMA MWANZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-IDQs_VWA88g/VbAM86ORmhI/AAAAAAAATYw/PskhTgztbXo/s1600/Lembeli%2Bna%2BMnyika.jpg)
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Polisi Mwanza watumia mabomu kutawanya wafuasi Chadema
NA JOHN MADUHU, MWANZA
JESHI la Polisi mkoani Mwanza, jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi zaidi ya 500 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliokuwa wamefurika katika Hospitali ya Rufaa Bugando kwa ajili ya kushuhudia mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita marehemu Alfonce Mawazo ambaye alifariki dunia kwa kukatwa mapanga.
Mawazo alifariki juzi katika mazingira ya kutatanisha huku kifo chake kikihusishwa na masuala ya...