Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema wamtimua rasmi Zitto

zitto kutimuliwaNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemvua rasmi uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Hatua hiyo ya Chadema imekuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupa kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya Bodi ya Udhamini ya chama hicho na Katibu wake, Dk. Willibrod Slaa.
Kesi hiyo ilitupwa jana na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za mapingamizi matano yaliyowasilishwa na mawakili wa Chadema.
Baada ya kutolewa kwa uamuzi huo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ZITTO AVULIWA RASMI UANACHAMA CHADEMA

Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo natangaza rasmi rasmi Zitto Kabwe sio mwanachama tena wa CHADEMA. Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto baada ya mahakama kuu ya Tanzania kutupilia mbali shauri lake.
Katika maamuzi hayo ya Mahakama kuu ya Tanzania leo...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama chadema

Tundu Lisu atangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Zitto Kabwe chadema

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto aachia rasmi ubunge, Asema Chadema basi, wafuasi wake wamwaga chozi.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametangaza kijivua ubunge wa jimbo hilo.

Zitto ambaye alivuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wiki iliyopita baada ya kushindwa kesi aliyoifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, alitangaza uamuzi huo jana katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa soko la kijiji cha Mwandiga, mkoani Kigoma.

Zitto hakueleza ni sababu zipi zilizomlazimisha kujitoa Chadema zaidi ya kudai kuwa ni kutokana na migogoro ndani ya chama hicho.

“Ndugu zangu...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach  kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA  katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli...

 

10 years ago

Habarileo

Zitto kuliaga rasmi Bunge?

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) jana aliteta faragha na Spika wa Bunge, Anne Makinda kushauriana naye kama ajiondoe kwenye ubunge baada ya chama chake kutangaza kumvua uanachama.

 

10 years ago

Habarileo

Zitto kuutema rasmi ubunge

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto anatarajia kuaga wabunge wenzake na kubainisha mbele ya Bunge hilo, kuwa anaachia rasmi madaraka yake ya ubunge baada ya kuhitilafiana na Chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

10 years ago

Habarileo

ZITTO AAGA BUNGE RASMI

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoHATIMAYE Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amekubali yaishe na kuamua kuaga wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Watanzania, wabunge wenzake na wajumbe wa Kamati wa Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kabla ya kutangaza kuachia ubunge wake.

 

11 years ago

GPL

ZITTO AICHAKAZA CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akiwa ndani ya Mahakama Kuu akisubiri hukumu ya kesi yake leo. Mwanasheria wa Chadema, Peter Kibatara (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho, Tundu Lissu ndani ya Mahakama Kuu tayari kusikiliza hukumu ya Zitto.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto aibuka CHADEMA

WAKATI mashabiki na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakihoji uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kumvua nafasi zote za uongozi Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani