Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema watawanywa kwa mabomu kuwatawanya Chadema Kyerwa

Jeshi la Polisi wilayani hapa limetumia mabomu ya machozi kupambana na wafuasi wa Chadema waliotaka kufanya mkutano wa ndani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

Chadema wafunika Mwanza, polisi watawanywa kwa mabomu


Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kuzuia maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katikati ya wiki iliyopita, umati mkubwa wa wakazi jijini hapa jana walifurika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mbugani kuwasikiliza viongozi wao wa kitaifa.

Viongozi hao ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu.Mkutano huo uliohutubiwa na viongozi hao, pia ulihudhuriwa na viongozi wa mkoa wa Mwanza wa vyama vya NCCR-Mageuzi na Chama...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema waandamana, polisi watumia mabomu kuwatawanya

>Polisi wilayani Bunda jana walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wachache wa Chadema waliokuwa wanajiandaa kuandamana.

 

10 years ago

GPL

WANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI

Polisi wakiondoa vizuizi vilivyowekwa na wananchi barabarani.…

 

11 years ago

GPL

HALI TETE MELELA: MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA KUWATAWANYA WAKULIMA

MABOMU ya machozi yametumika kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende kusuluhisha mgogoro uliopo baina yao na wafugaji. Wakulima hao wanadai kuwa wenzao watano jana wamevamiwa na wafugaji wa kabila la Wamasai na kuwajeruhi vibaya kwa vitu vyenye ncha kali sehemu za siri na kupelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

GPL

POLISI WATUMIA MABOMU KUWATAWANYA MACHINGA WALIOANDAMANA JIJINI DAR LEO

Moto uliowashwa na machinga ukiwaka barabarani eneo la Kamata, Kariakoo jijini Dar leo. Gari la zimamoto likiwasili eneo la kamata kuzima moto uliowashwa na machinga.…

 

10 years ago

GPL

VURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR

Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam jioni hii limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga wanaolazimisha kufanyia biashara eneo la Karume baada ya kukataa kuondoka eneo hilo kwa ustaarabu na kuzua vurugu.  (Picha na Gabriel Ng'osha / Global Whatsapp 0753 715 779)

 

11 years ago

Habarileo

Chadema Kahama wapigwa mabomu ya machozi

POLISI wilayani Kahama wametumia mabomu ya machozi kutawanya maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupinga kuendelea kwa Bunge la Katiba.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi Mwanza watumia mabomu kutawanya wafuasi Chadema

3NA JOHN MADUHU, MWANZA

JESHI la Polisi mkoani Mwanza, jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi zaidi ya 500 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliokuwa wamefurika katika Hospitali ya Rufaa Bugando kwa ajili ya kushuhudia mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita marehemu Alfonce Mawazo ambaye alifariki dunia kwa kukatwa mapanga.

Mawazo alifariki juzi katika mazingira ya kutatanisha huku kifo chake kikihusishwa na masuala ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani