Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yabaini mbinu chafu

Pg 5NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua tuhuma mpya dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kikisema kimebaini shahada zaidi ya milioni mbili za kupigia kura zinazotarajiwa kuingizwa kinyemela katika Daftari la Wapiga Kura na  kugawiwa kwa wana CCM ambao hawakujiandikisha.

Chama hicho kimedai kwamba, mbali na shahada hizo pia wakimbizi zaidi ya 70,000 mkoani Kigoma wameandikishwa katika daftari hilo kwa ajili ya kupiga kura.

Tuhuma  hizo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sayansi yabaini: Siri ya utoaji wa hewa chafu mwilini

>Kwa wengine, kutoa hewa chafu huenda kukawa ni jambo la aibu na pia la kufadhaisha.

 

11 years ago

Michuzi

POLISI KILIMANJARO YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIKA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA .

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akiwaonesha waandishi wa habari(hawako pichani)moja ya mikoba iliyotumika kufichia dawa za kulevya kwa ustadi mkubwa. Dawa za Kulevya ambazo hazijafahamika ni aina gani zikiwa katika mifuko maalumu. Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa .

Viongozi wa Chadema/UKAWA kuweni Makini sana na huu mfumo wa BVR bao la mkono liko njiani kufanikiwa. Mkipuuza mtalia kilio ambacho hatapatikana mtu wa kuwafuta machozi. Vitambulisho fake ni vingi sana na hakuna mashine ya kuvitambua […]

The post Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa . appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yabaini janja ya CCM

ZIARA ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani wa Geita, imeibua madudu ya kutisha yanayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiwa ni pamoja na uandikishaji wa daftari la makazi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yabaini njama Polisi, CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimebaini hujuma zinazodaiwa kufanywa kwa ubia kati ya Jeshi la Polisi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka kuanzisha vurugu kwenye kampeni za uchaguzi mdogo...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Chadema Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hii

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi (kulia) akifafanua jambo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari Thursday, October 22, 2015 ZIKIWA zimebaki siku tatu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka […]

The post Chadema Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hii appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Tanzania Daima

10 years ago

BBCSwahili

Iraq yabaini wanajeshi hewa

Uchunguzi wa idara ya kupambana na vitendo vya rushwa nchini Iraq umebaini kuwa kuwepo kwa wanajeshi hewa wanaolipwa mishahara.

 

10 years ago

StarTV

Mamlaka ya PPRA yabaini ukiukwaji wa sheria

Mamlaka ya kudhibiti Manunuzi ya Umma (PPRA) imezifungia kampuni 7 pamoja na wakurugenzi wake kutoshiriki zabuni za umma kutokana na ukiukwaji wa sheria ya manunuzi.

Adhabu hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa PPRA iliyobaini viashiria vya rushwa kwenye manunuzi ya umma kwa kampuni na taasisi mbalimbali za Serikali tatizo ambalo limedaiwa kuonekana kuwa sugu hali inayoathiri uchumi wa Taifa.

Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Matern Lumbanga amesisitiza juu ya kufungiwa kwa kampuni SABA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani