CHADEMA YAENDELEA KUKOMAA YASISITIZA MAANDAMANO YAPO PALE PALE NCHI NZIMA
 Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari.  Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Usimamizi wa Kanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila akionesha barua za kuomba vibali vya kufanya maandamano katika maeneo mbalimbali nchini. … ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziCHADEMA YAENDELEA KUKOMAA YASISITIZA MAANDAMANO YAPO PALE PALE NCHI NZIMA KUANZIA KESHO
9 years ago
Bongo517 Oct
Nay wa Mitego: Mpango wa kufanya filamu na Diamond upo pale pale
11 years ago
Michuzi19 Feb
10 years ago
Bongo526 Apr
Ray C: Nimenenepa lakini kiuno bila mfupa kiko pale pale!
11 years ago
Michuzi10 Mar
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
SHAMBULIZI LA PARIS: Mashindano ya EURO 2016 pale pale! -Waratibu
Jiji la Paris nchini Ufaransa linavyoonekana ambapo baadhi ya vwanja vyake kadhaa vinatarajiwa kutimua vumbi hapo baadae katika michuano ya soka ya Ulaya maarufu kama EURO 2016.
Na Rabi Hume, Modewjiblog na Mashirika ya Habari.
Mratibu wa Mashindano ya Euro kwa mwaka 2016, Jacques Lambert yanayotarajiwa kufanyika Ufaransa amesema kutokea kwa shambulio la Paris hakuwezi kuwa sababu ya kusimamisha mashindano ya Euro 2016.
Akizungumza na kituo cha redio cha Ufaransa cha RTL, Lambert...
10 years ago
Bongo Movies01 Jul
Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo Lakini Ndoa Yangu Ipo Pale Pale
Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale.
Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda wa kuwa mama ulikuwa umefika.
“Mimi niliamua kupata mtoto baada ya kuona wakati umefika,” amesema.
“Kwasababu siku zinaenda pamoja na umri inabidi maisha yaendelee mbele. Ndoa yangu ipo kama ilivyokuwa...
11 years ago
Michuzi03 Feb
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
CDA: Uboreshaji wa miji upo pale pale
KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu (CDA) Pascas Mragili amesema kuwa suala ya uboreshaji wa mjini na mipango miji lipo pale pale kwa kuwa ni jambo la...