Chadema yajiimarisha yaendesha mikutano ya mafunzo Singida
Mkurugenzi wa organization na mafunzo CHADEMA Taifa, Benson Kigaila, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye uwanja wa Peoples mjini Singida ukiwa na lengo na kuzindua mafunzo yanayoendelea kutolewa nchini kote na chama hicho, kujiimarisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu.
Baadhi ya wanaCHADEMA na wananchi wa mji wa Singida, waliophudhuria mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya kumsikiliza mkurugenzi wa organization na mafunzo wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
YMC yaendesha mafunzo ya siku mbili ya utafiti wa taaluma shule za msingi Manispaa ya Singida
Mratbu wa shirika la Uwezo mkoa wa Singida, Nason W.Nason, akitoa nasaha zake kwenye mafunzo yaliyohusu kufanywa kwa utafiti juu ya taaluma shule za msingi manispaa ya Singida.Wa pili kulia ni Kaimu Afisa Elimu shule za msingi manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda na (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi wa YMC mkoa wa Singida, Fidelis Yunde.
Kaimu Afisa Elimu manispaa ya Singida, Samwel Mwaikenda, akizungumza kwenye ufungaji wa mafunzo ya namna bora ya kufanya utafiti wa taaluma katika shule za...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Statoil yaendesha mafunzo ya ujasiriamali
MAFUNZO ya elimu ya ujasiriamali kwa washiriki wa shindano la Mashujaa wa kesho yaliyoratibiwa na kampuniya Statoil Tanzania kwa ajili ya kukuza ubunifu wa kibiashara kwa vijana wa Mtwara, yamemalizika....
10 years ago
Habarileo15 Dec
MUHAS yaendesha mafunzo kwa wahandisi
CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) kwa kushirikiana na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), kimeendesha mafunzo na shindano kubwa linalolenga kuwapata wahandisi vijana wabunifu na wagunduzi kwenye eneo la utengenezaji wa vifaa tiba kutoka vyuo vikuu vya Afya na Sayansi barani Afrika.
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
TMF yaendesha mafunzo ya ‘New Media na Data Journalism’
Na modewji blog
MFUKO wa Vyombo vya habari nchini Tanzania (TMF) unaendesha mafunzo ya siku tano kwa waandishi wa habari kuhusu ‘New media and data journalism’ kuanzia Machi 17 -21, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo yanahusisha washiriki 10 kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini ambavyo ni redio, magazeti, taasisi za elimu ya juu zinazofundisha masula ya habari na mawasiliano ya umma na mitandao ya kijamii.
Afisa Mafunzo wa TMF Bi. Raziah Mwawanga akiongea wakati wa mafunzo...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0107.jpg)
UNESCO YAENDESHA MAFUNZO YA TEHAMA KUHUSU MABADILIKO YA RADIO JAMII
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
RC Singida ahimiza wananchi kuhudhuria mikutano ya siasa
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha ushauri ya mkoa (RCC) kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.K ulia ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan na wa kwanza kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Singida,M ary Chitanda na anayefuatia ni mwenyekiti CCM mkoa wa Singida,Mgana Msindai.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, amewahimiza wananchi...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Klabu ya mchezo wa draft Wembley manispaa ya Singida, yaendesha shindano la kugombea Mbuzi
![IMG_1849](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/01/IMG_1849.jpg)
![IMG_1855](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/01/IMG_1855.jpg)
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAENDESHA MAFUNZO KWA TAASISI WADAU WA USIMAMIZI WA SHERIA
5 years ago
MichuziTGNP YAENDESHA MAFUNZO YA JINSIA, DEMOKRASIA NA UONGOZI KWA WADAU WA HAKI ZA WANAWAKE
Washiriki wa mafunzo ya Jinsia, Demokrasia na Uongozi wakiwemo viongozi wa Taasisi za Kijamii, Mashirika yasiyo ya kiserikali,waendesha bodaboda,watu wenye ulemavu na viongozi wa dini na kimila wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wakipeana mrejesho wa mambo waliyojifunza kuongeza ushiriki wa wanawake katika uongozi na kufanya maamuzi kwa nia ya kubadili mtazamo wa jamii kuhusu ushiriki wa wanawake leo Ijumaa Februari 14,2020 katika ukumbi wa BM Maganzo.