Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA Yamliza Waziri wa Kikwete kijijini kwake.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Desemba 14, kimewaliza Viongozi wa Chama cha CCM Mvomero akiwemo Naibu Waziri wa Maji, Amosi Makala, ambapo kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wameangukia Pua, kwa Vijiji vyao kuchukuliwa na Chadema.
Mbali ya Waziri Makala, wengine waliolizwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Jonas Van Zealand, Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM, Abdalah Mtiga, Katibu Mwenezi wa CCM, Yusufu Kingu, Mwenyekiti wa Vijana (UVCCM), Pascal...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Rais Kikwete apiga kura kijijini kwake

jkNA PATRICIA KIMELEMETA, CHALINZE

RAIS Jakaya Kikwete jana alipiga kura kijijini kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Rais Kikwete ambaye anamaliza muda wake wa uongozi wa miaka 10 tangu alipoingia madarakani Novemba 2005, aliwasili kijijini hapo katika Kituo cha Zahanati ya Msoga, jana saa 12:25 na kupanga foleni ya kupiga kura kama ilivyo kwa wananchi wengine.

Baada ya kumaliza kupiga kura, alisema amejitokeza kutumia haki yake ya msingi ya kuwapigia kura viongozi wanaotarajiwa...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apiga kura Kijijini Kwake Msoga.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura leo katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo. Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo.

MKE WA...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na watoto, kijijini kwake.



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na watoto, kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa Machi 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA KIJIJINI KWAKE LITUHI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda  pamoja na wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya Tanzania kwenda kumzika marehemu Kapteni John Komba kijijini kwake Lituhi.

 Mke wa Marehemu Kapteni John Komba ,Salome (kushoto) akiweka shada la maua juu ya kaburi la marehemu.
 Watoto wa marehemu Kapteni John Komba wakiweka shada la maua juu ya kaburi la Baba yao.
 Watoto wa marehemu wakilia...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAONYA WATUMISHI WA SERIKALI, AWASILI KIJIJINI KWAKE NANDAGLA RUANGWA


f3940726-a5ba-43fe-8d8a-66bdb6a1cb19Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na wapigakura wke baada ya kuwasili kijijini kwake Nndagala wilayni Luangwa kwa mapumziko mafupi Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)……………………………………………………………………..*Asema wabadhirifu watang’olewa mara moja*Asema wako wasomi wengi wanaotafuta ajiraWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA JAJI LEWIS MAKAME KIJIJINI KWAKE HUKO TONGWE - MUHEZA

 Mama Salma Kikwete akimsindikiza Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary Makame kuweka udongo kwenye kaburi. Mama Salma Kikwete akiwa na  Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary Makame  Mama Salma Kikwete akitoa salamu ya pole kwa wafiwa mara baada ya shughuli ya utiaji udongo kaburini kukamilika. Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary akiweka shada la maua kwenye kaburi la mume wake Marehemu Jaji Lewis Makame wakati nwa ibada ya mazishi iliyofanyika huko Tongwe katika...

 

11 years ago

Habarileo

Maelfu wamzika Dk Mgimwa kijijini kwake

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Salma Kikwete wakimwaga mchanga katika kaburi la marehemu Dk William Mgimwa wakati wa maziko yake kijijini kwake Magunga, Iringa Vijijini jana. (Picha na Frank Leonard).RAIS Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, jana waliongoza maelfu ya wakazi wa mkoani Iringa na mikoa ya jirani katika maziko ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga, Dk William Mgimwa (CCM).

 

10 years ago

Habarileo

Mazishi ya Komba yamliza Kikwete

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga, Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma jana. (Picha na Freddy Maro).Rais Jakaya Kikwete jana alishindwa kujizuia kutoa machozi, wakati mwili wa mbunge Mbinga Magharibi wilaya ya Nyasa mkoa wa Ruvuma, Kapteni John Komba wakati ukishushwa kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi, jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani