CHADEMA yamtaka Rais kusogeza mbele kura Katiba pendekezwa.
Na Neema Ndetto,
Dar es Salaam.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kusogeza mbele zoezi la kupiga kura ya maoni kuhusu Katiba inayopendekezwa ili uandikishaji wananchi katika daftari la wapiga kura ufanyike kwa weledi
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Ubungo John Mnyika amesema kwa mujibu wa Katiba ni lazima wananchi wajiandikishe kwanza kwenye daftari la wapiga kura ili waweze kupiga kura ya maoni ya Katiba pendekezwa.
Mnyika amesema...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUIPIGIA KURA YA NDIYO KATIBA PENDEKEZWA

Wananchi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo katiba inayopendekezwa kwani ni bora na imegusa maeneo yote kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wananchi waliohudhuria sherehe ya kushangilia ushindi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa Ruaha kata ya Mingoyo...
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Burundi yatakiwa kusogeza mbele uchaguzi
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
JUMUIYA ya Nchi za Afrika Mashariki (EAC), zimeitaka Burundi kusogeza mbele muda wa uchaguzi kwa mwezi mmoja na nusu ili kurejesha hali ya usalama nchini humo.
Uamuzi huo umefikiwa jana jijini Dar es Salaam na kusomwa na Katibu Mkuu wa EAC, Dk. Richard Sezibera kwa niaba ya wakuu wa nchi za Afrika Mashariki, akisema utasaidia kupunguza vurugu zilizokuwa zikiendelea nchini humo.
Burundi ilikuwa imepanga kufanya uchaguzi wa wabunge wiki ijayo na wa rais Juni...
10 years ago
Vijimambo20 Dec
Mtandao wa Wanawake na Katiba wataja sababu za kuvutiwa na Katiba pendekezwa




11 years ago
Mwananchi15 Dec
Chadema yatishia kususia kura ya maoni Katiba Mpya
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Katiba pendekezwa yapigiwa ‘debe’
11 years ago
StarTV03 Oct
Hatimaye Katiba pendekezwa yapatikana.
KATIBA Inayopendekezwa kwa wananchi, imepatikana jana na kukamilisha sehemu kubwa ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba, ulioanzia katika ukusanyaji wa maoni ya wananchi. Jumatano ijayo, Oktoba 8, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, anatarajiwa kukabidhi katiba hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.
Hofu ya kutopatikana kura za kutosha za wajumbe kutoka Zanzibar, iliyokuwepo kwa muda mrefu tangu...
11 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Wakatoliki watakiwa kuisoma Katiba pendekezwa
WAKRISTO wa dhehebu la Katoliki nchini wametakiwa kuisoma kwa makini Katiba inayopendekezwa kabla ya kupiga kura ya maoni ili kufanya chaguo sahihi. Hayo yalisemwa juzi na Paroko wa Parokia ya...
11 years ago
Tanzania Daima08 Nov
BAWACHA: Hatutaacha kukosoa Katiba pendekezwa
BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limesema kuwa halitaacha kuwaeleza wananchi mapungufu yaliyopo kwenye Katiba Pendekezwa kwani Rais Jakaya Kikwete ndiye aliyeanza kampeni kabla ya wakati ya kuhamasisha wananchi kuipigia kura...
10 years ago
Habarileo27 Nov
‘Acheni kurubuniwa na wanaopinga Katiba Pendekezwa’
WANANCHI wa Zanzibar wametakiwa kutokubali kurubuniwa na watu wanaojidai kutetea maslahi ya Zanzibar kwa kupinga Katiba Inayopendekezwa na kubainisha kuwa lengo la watu hao ni kurudisha nyuma maendeleo ya Zanzibar.